Watu wanakwiba hadi chupi, kwahiyo ujue hizo ni tabia tu. Huyu anaiba dukani kwa mtu yule anaiba shuleni.Weeee!!acha kabisaa!! Jamani tulikua tunaibiana kaahh!kuna siku niliibiwaga skini taiti mpyaa nusu nilichongaa mpk baasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eehh!we si ndo basha wangu au umesahau!!!
[emoji3][emoji3][emoji3] tabia mbaya, ila kama siku moja nimekusamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliwahi kuiba maji kipindi cha shida ya maji[emoji85][emoji85][emoji85]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] tabia mbaya, ila kama siku moja nimekusamehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii sijui km kuna asiyepitia
Nimemnyima biriani si shoga miyee[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaaa....!!! Hujachangia kumbe!!!!kwa hyo hapa unasoma eeehh?!!Hebu niache kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]Biriani akalitafutie Pengine..
Halafu unanitoa kwenye reli mpaka muda huu sijachangia mada bado tunadeal na birian tu[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We maji nimeyafuata mbali kweli nafika nayaweka dkk 5 tu yamebebwa[emoji134][emoji134]
Nikasema wasinitanie nami nikaiba ya mtu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuna kitu umewalia hao watu au wanakufananisha na raybaby?[emoji134]
Hizi generalization zako mimi zinanichoshaga sana, huwezi kusema hakuna asiyefanyaHahaaa...hakuna asiyefanya hii!!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye stori tu my dear kwa sababu hivi vitu kishuleshule kawaida sanaa...labda nyie mlosoma seminary ila huku kwetu kawaida sanaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji11]yaani japo wapo wasofanya ila ni wachache so wanaingia kwenye majority rule!!!!Hizi generalization zako mimi zinanichoshaga sana, huwezi kusema hakuna asiyefanya
Hapana mimi sijawahi kusoma seminary, tena nimesoma boarding private na serikali, sijawahi kufanya hiyo kitu. Nikichukua maji ya mtu labda naoshea kikombe, sahani au kijiko lakini sikuwahi kubeba maji ya mtu. Uje unafikiria mtu kachota maji yake kaweka uvunguni, amepiga hesabu ataamka saa kumi na mbili na nusu anaoga saa moja anatoka bwenini halafu anaamka muda huo maji hayapo, ni ukatili mkubwa sanaKwenye stori tu my dear kwa sababu hivi vitu kishuleshule kawaida sanaa...labda nyie mlosoma seminary ila huku kwetu kawaida sanaa...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji11]yaani japo wapo wasofanya ila ni wachache so wanaingia kwenye majority rule!!!!
Hii tabia ya kutapeli nauli za wanaume itabidi niachee jamani uwiii
Dah,nimeumia sana rohoni(sio kwasababu ya mada lahasha ni kwasababu ya mtoa mada,yaani mwanaume mzima kujijumlisha kuwa na wewe ni mwanamke)
Hata kama wewe ni shoga lakini siuna mboo?acha mambo zako bhana
Hahaaa...bora we muungwana kuna watu hawana hizo mi nshaibiwa skin taiti nkajiuliza anavaaje sasa?Hapana mimi sijawahi kusoma seminary, tena nimesoma boarding private na serikali, sijawahi kufanya hiyo kitu. Nikichukua maji ya mtu labda naoshea kikombe, sahani au kijiko lakini sikuwahi kubeba maji ya mtu. Uje unafikiria mtu kachota maji yake kaweka uvunguni, amepiga hesabu ataamka saa kumi na mbili na nusu anaoga saa moja anatoka bwenini halafu anaamka muda huo maji hayapo, ni ukatili mkubwa sana