Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Watu wanakwiba hadi chupi, kwahiyo ujue hizo ni tabia tu. Huyu anaiba dukani kwa mtu yule anaiba shuleni.Weeee!!acha kabisaa!! Jamani tulikua tunaibiana kaahh!kuna siku niliibiwaga skini taiti mpyaa nusu nilichongaa mpk baasi