Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuiba ni kuiba tu mwenza kiwe kidogo au kikubwa[emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mimi sijawahi kusoma seminary, tena nimesoma boarding private na serikali, sijawahi kufanya hiyo kitu. Nikichukua maji ya mtu labda naoshea kikombe, sahani au kijiko lakini sikuwahi kubeba maji ya mtu. Uje unafikiria mtu kachota maji yake kaweka uvunguni, amepiga hesabu ataamka saa kumi na mbili na nusu anaoga saa moja anatoka bwenini halafu anaamka muda huo maji hayapo, ni ukatili mkubwa sana
Hapana hatufanani, hiyo kidogo ninachukua siibi na hata mwenyewe akija kuuliza nani amepunguza maji yangu nitamwambia ni mimi au hata akiwepo nitachota. Mind you hata hiyo kidogo sichoti kwa yeyote nachota kwa yule nnayeelewana naeKuiba ni kuiba tu mwenza kiwe kidogo au kikubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera aseeeHapana hatufanani, hiyo kidogo ninachukua siibi na hata mwenyewe akija kuuliza nani amepunguza maji yangu nitamwambia ni mimi au hata akiwepo nitachota. Mind you hata hiyo kidogo sichoti kwa yeyote nachota kwa yule nnayeelewana nae
Hii tabia ya kutapeli nauli za wanaume itabidi niachee jamani uwiii
Wanawake hoyeeeeee. Maendeleo juuuu.
KabisakabisaaHapana, huo hajauongelea mtoa mada. Utapeli huu na uendelee milele as long as haumtapeli mwanamke mwenzio.
My dear enzi niko mdogo nilikuwa mdokozi sana, nakumbuka kuna wakati kaka yetu mkubwa alikuja kututembelea akaambiwa tabia yangu, hakunipiga wala kunikaripia. Aliniambia maneno mazito ingawa nilikuwa mdogo yaliniingia kisawasawa na hadi leo nayakumbuka. Tangu wakati huo sijawahi kumuibia mtu hata penseliHongera aseee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My dear enzi niko mdogo nilikuwa mdokozi sana, nakumbuka kuna wakati kaka yetu mkubwa alikuja kututembelea akaambiwa tabia yangu, hakunipiga wala kunikaripia. Aliniambia maneno mazito ingawa nilikuwa mdogo yaliniingia kisawasawa na hadi leo nayakumbuka. Tangu wakati huo sijawahi kumuibia mtu hata penseli
Mmmmmmmmmmmmmmh!!![emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Hapana hatufanani, hiyo kidogo ninachukua siibi na hata mwenyewe akija kuuliza nani amepunguza maji yangu nitamwambia ni mimi au hata akiwepo nitachota. Mind you hata hiyo kidogo sichoti kwa yeyote nachota kwa yule nnayeelewana nae
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wakiwezeshwa wanaweza
Of course nilikuwa nadokoa nikiwa mtoto ila nilipoacha niliacha jumla ila mimi ndio nikawa victim wa wizi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe umeanza kitambo eeh[emoji85][emoji85][emoji85]
Kabisa ila naona kuna mtu kaniroga hahahahahahahhahahaha nisitongozwe kabisaaaa maana toka Nile nauli yake hiiiiii[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3]ndo zako nini!!!!
Hebu yaseme nasi tuyaskie hapa maana niyacopy na kuyapaste kwa wengineMy dear enzi niko mdogo nilikuwa mdokozi sana, nakumbuka kuna wakati kaka yetu mkubwa alikuja kututembelea akaambiwa tabia yangu, hakunipiga wala kunikaripia. Aliniambia maneno mazito ingawa nilikuwa mdogo yaliniingia kisawasawa na hadi leo nayakumbuka. Tangu wakati huo sijawahi kumuibia mtu hata penseli
Safiiii, ngoja wakuibie vizuri[emoji85][emoji85][emoji85]Of course nilikuwa nadokoa nikiwa mtoto ila nilipoacha niliacha jumla ila mimi ndio nikawa victim wa wizi sasa
I see. Umekula sana nauli za videti?😀😀😀😀😀Hii tabia ya kutapeli nauli za wanaume itabidi niachee jamani uwiii