Baadhi ya wanawake siku hizi ni wezi na matapeli

Baadhi ya wanawake siku hizi ni wezi na matapeli

Of course nilikuwa nadokoa nikiwa mtoto ila nilipoacha niliacha jumla ila mimi ndio nikawa victim wa wizi sasa
Ukiibiwa unatafuta mnyonge unamuibia..win win situation!!!
 
Kabisa ila naona kuna mtu kaniroga hahahahahahahhahahaha nisitongozwe kabisaaaa maana toka Nile nauli yake hiiiiii
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]!!!Fanya urudishe dear nauli ya watu!!usije ukakosa mchumba buree
 
Ukiibiwa unatafuta mnyonge unamuibia..win win situation!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti ubebe maji yangu niloyatoa mbali kweli alafu nitulie tu nikafuate mengine[emoji134][emoji134] sijawa zoba hivyo, nami nabebaa.
 
Kabisaa yaani tena ukila unapata thawabu kwa Mungu umeepuka dhambi juu ya dhambi
Hii sio dhambi bwana, yeye ananiita niende kwenye dhambi then natafakari nakula nauli, sio dhambi kabisa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Back
Top Bottom