Baadhi ya wanawake siku hizi ni wezi na matapeli

Muda huu ndio namalizia kusoma [emoji2][emoji2][emoji42]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaaaa....!!! Hujachangia kumbe!!!!kwa hyo hapa unasoma eeehh?!!
Yote uliyoyasema nami nimekubaliana nayo %[emoji42][emoji42]
 
Muda huu ndio namalizia kusoma [emoji2][emoji2][emoji42]Yote uliyoyasema nami nimekubaliana nayo %[emoji42][emoji42]
Hahaaa!!;kwa hyo unalala au unaamka?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanawake wengi wamekuwa ni waongo na matapeli wa kutupa matokeo yake wanaume nao baadhi wamekuwa wanawakomoa sana tu kwa namna mbali mbali ikiwemo kuwajaza mimba kisha kuingia mitini na kuleta janga jingine kubwa kwa Taifa kwa ongezeko kubwa na la kutisha la single mothers na watoto wanaokosa matunzo bora ya Wazazi wote wawili.

 
Ukienda Nairobi unatapeliwa ukifikiri ni mwanamke ndio kakuibia kumbe ni mwanaume alievaa kama mwanamke na hii tabia ipo sana huko
Usifikiri matapeli wote ni wanawake ila wapo waliouva uanakike pia
Na humu wamo wengi tu na usidanganyike na neno BABY
 
Duhh!!!mbona hatari sasa
 
Haha...rafiki weye sio mfuasi wa maji ya dhahabu
Mh hvi Soda nazo zimeanza kulewesha??Basi saa yangu inanichonganisha na rafiki eti huku ni Saa 8 na madakika yake[emoji4][emoji4][emoji42]
Au Afghanistan ndo saa nane sasa hv!! Hukoo
 
Jamaa ni punga kumbe..ndio.maana kuna sehem anaonesha ni mwanaume na sehemu ni mwanamke
Nasemaje mimi nakukatalia humu wengi mademe wanawake wa kitz tunawajua....hata kama id kongwe watu tushastukia kamchezo kanachoendelea.
 


cc: Shamimu Mwasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…