Ndiondio ni haramu kurudisha huo "NI HARAMU"Tena hujakosewa umeingia kwa nia thabiti
Hata mimi baba hakuwahi hata kunifinya wala kunigombeza, tena ndio alikuwa mtetezi wangu. mama ndio alikuwa mkali.Hahaaa!km mwl wa Kagera yule!!
Mimi baba yangu hakua mchapaji hata kidogo!!anaongea tuuu
Kuirudisha ndio dhambi.Hapo sasa[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]unapiga dhahabu teke
IWe baraka imeingia ndani mwako alafu unaifukuza[emoji134][emoji134]
Hahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji3][emoji3][emoji6]!!unakufa maskini
Shauri zako ila ni dhambi [emoji83][emoji3][emoji3][emoji3]sio dhambi etiii!!!!kwanza raha sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa utamu na rahaHahaaa!!!!umeona eeehh!!!ila Mimi kwenye mapenzi sina kujuta
😂 ndio hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]