Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
- Thread starter
-
- #21
Kukusifia vile haifuti umafia wako wa zamani lakn, wanasema shetan akizeeka hua malaika.Ulifanya nisome bandiko lako huku nakunywa dawa zangu za Presha, maana Vijana hamchelewi kusema Babu yenu naye anapenda mizigo π€π
Hahaha.........Kwa Uzee huu naanzia wapi Babu yenu π€Kukusifia vile haifuti umafia wako wa zamani lakn, wanasema shetan akizeeka hua malaika.
Swali langu, katika mbusu zote unahisi hyo ndo bora yao? Naonaga watu wanatumia mfano wa kiwanja chenye mgogoro humu, na hilo unachukuliaje?Yupo tayar ni mim tu nikitaka,kuna siku aliwah kulia sana na baadae akaniambia anataka nimuoe,nikamwambia asijar
Sitaki kufukua makaburi ila enzi zako babu ulikua chuma cha mjerumani.. dalili naziona mzee wanguHahaha.........Kwa Uzee huu naanzia wapi Babu yenu π€
Ni kwel ni shamba la mgogoro maana pia yupo na watoto watatuSwali langu, katika mbusu zote unahisi hyo ndo bora yao? Naonaga watu wanatumia mfano wa kiwanja chenye mgogoro humu, na hilo unachukuliaje?
Haiwezi. Yaani bora waniue. Hata nife watake kufanya hivyo ntafufuka niendelee kupigaAisee hii logic yako kiboko, kwahyo bora anaeliwa au π€
Ume left?
Duh lakini tikitaka zake si unazielewa? Humu tu kama mayele au gogo?Ni kwel ni shamba la mgogoro maana pia yupo na watoto watatu
ππππππSitaki kufukua makaburi ila enzi zako babu ulikua chuma cha mjerumani.. dalili naziona mzee wangu
Nakubali mwamba ππHaiwezi. Yaani bora waniue. Hata nife watake kufanya hivyo ntafufuka niendelee kupiga
ndo mana wanamrekodi anaelawitiwa na anapigwa mkwara uki ripoti tunavujishaKwenye kufumania ukijichanganya ukamlawiti uliyemfuma jua una eneo lako gerezani. Hukumu nyingine muachie Mungu.
Hamna mkuu. Naheshimu sana mke wa mtu. Sifanyi hivyoNakubali mwamba ππ
Lakini msimamo wako ukoje juu ya mke wa mtu? Show show au?
Mke anauma bro, wife akijiunga humu nkaona like zako za kuzidi imma get my strap on!Yaani mke anafanya mtu anaandika ngonjera yote hii
π€£π€£π€£π€£Siku hizi ni kutembea na maji
Kwann si tumeagizwa tuoe mkuu ili tuzalianeAchana na masuala ya ndoa
π€£π€£π€£π€£π€£π€Mke anauma bro, wife akijiunga humu nkaona like zako za kuzidi imma get my strap on!