Archnemesis 2-0
JF-Expert Member
- Aug 25, 2024
- 815
- 1,558
- Thread starter
- #21
Kukusifia vile haifuti umafia wako wa zamani lakn, wanasema shetan akizeeka hua malaika.Ulifanya nisome bandiko lako huku nakunywa dawa zangu za Presha, maana Vijana hamchelewi kusema Babu yenu naye anapenda mizigo 🤗🙌