Baadhi ya wanawake wamekuwa kupe kwa waume za watu, wanaume nao wanatelekeza wake zao kisa wanawake wa nje. Hakuna mwisho mwema!

Baadhi ya wanawake wamekuwa kupe kwa waume za watu, wanaume nao wanatelekeza wake zao kisa wanawake wa nje. Hakuna mwisho mwema!

Yupo tayar ni mim tu nikitaka,kuna siku aliwah kulia sana na baadae akaniambia anataka nimuoe,nikamwambia asijar
Swali langu, katika mbusu zote unahisi hyo ndo bora yao? Naonaga watu wanatumia mfano wa kiwanja chenye mgogoro humu, na hilo unachukuliaje?
 
JF ni sehemu nzuri sana ya kufanya social experiment kwa majibu yako

Ukiandika uzi wa ngono tena explicit xxx utaona reaction yake

Ukiandika kuhusu watu kuchukuliana waume kwa wake utaona pia.. ata wanaoranda masaa 24 hawagusi humu mwikoo 😂 Amakweli
 
Back
Top Bottom