Baadhi ya wanawake wamekuwa kupe kwa waume za watu, wanaume nao wanatelekeza wake zao kisa wanawake wa nje. Hakuna mwisho mwema!

Wewe ni mlinzi wa mkeo, bafikiriaga mwanamke had anachepuka kuna kauzembe mtu umefanya na caring yako imepungua kwake au unge notice
Sio kwenye maamuzi yake ya kihisia
Mke unapokuwa nae haimaanishi hakuna wengine anao tamani kuwa nao huko nje
Kwahio ikifika muda akiamua kuwa na mtu mwingine hakuna wa kuzuia
 
Sio kwenye maamuzi yake ya kihisia
Mke unapokuwa nae haimaanishi hakuna wengine anao tamani kuwa nao huko nje
Kwahio ikifika muda akiamua kuwa na mtu mwingine hakuna wa kuzuia
Sawa ila mada ni usitoke na mke wa mtu kwa we Me, kwa Ke asijirahisishe kwa waume za watu, wewe cheza na part yako akizengua mteme no excuse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…