Baadhi ya wanawake wamekuwa kupe kwa waume za watu, wanaume nao wanatelekeza wake zao kisa wanawake wa nje. Hakuna mwisho mwema!

Baadhi ya wanawake wamekuwa kupe kwa waume za watu, wanaume nao wanatelekeza wake zao kisa wanawake wa nje. Hakuna mwisho mwema!

Sio kwenye maamuzi yake ya kihisia
Mke unapokuwa nae haimaanishi hakuna wengine anao tamani kuwa nao huko nje
Kwahio ikifika muda akiamua kuwa na mtu mwingine hakuna wa kuzuia
Sawa ila mada ni usitoke na mke wa mtu kwa we Me, kwa Ke asijirahisishe kwa waume za watu, wewe cheza na part yako akizengua mteme no excuse
 
Back
Top Bottom