raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
WTF broMke anauma bro, wife akijiunga humu nkaona like zako za kuzidi imma get my strap on!
Mke kaamua kutumia mwili wake kwa mwingine yanini mimi niingie dhambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WTF broMke anauma bro, wife akijiunga humu nkaona like zako za kuzidi imma get my strap on!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu, LolUnatoa wosia ukiwa ndani ya DIAPERS
🤣🤣🤣Watu wamevurugwa balaa🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watu, Lol
Tumeagizwa tuzaliane sio tuoaneKwann si tumeagizwa tuoe mkuu ili tuzaliane
Wewe ni mlinzi wa mkeo, bafikiriaga mwanamke had anachepuka kuna kauzembe mtu umefanya na caring yako imepungua kwake au unge noticeWTF bro
Mke kaamua kutumia mwili wake kwa mwingine yanini mimi niingie dhambi
Tuna rekodi huku tunakula chiga 🚬Nawakumbusha, hakuna kupewaa majiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sio kwenye maamuzi yake ya kihisiaWewe ni mlinzi wa mkeo, bafikiriaga mwanamke had anachepuka kuna kauzembe mtu umefanya na caring yako imepungua kwake au unge notice
Sawa ila mada ni usitoke na mke wa mtu kwa we Me, kwa Ke asijirahisishe kwa waume za watu, wewe cheza na part yako akizengua mteme no excuseSio kwenye maamuzi yake ya kihisia
Mke unapokuwa nae haimaanishi hakuna wengine anao tamani kuwa nao huko nje
Kwahio ikifika muda akiamua kuwa na mtu mwingine hakuna wa kuzuia
Nani kasema wewe 😃Sawa ila mada ni usitoke na mke wa mtu kwa we Me, kwa Ke asijirahisishe kwa waume za watu, wewe cheza na part yako akizengua mteme no excuse
Dah kwahyo unaruka nao mzee? AiseeNani kasema wewe 😃
Noumaaaa sanaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuna rekodi huku tunakula chiga [emoji377]
Hatari
Unakubali kutenda dhambi kwa tabia mbovu za mkeo 😄Dah kwahyo unaruka nao mzee? Aisee
Tembea na KY na maji ya kunywa kama alivosma mtu apo juu
Yupo vzur,afu sio omba ombaDuh lakini tikitaka zake si unazielewa? Humu tu kama mayele au gogo?
Tatizo unanimix kuna muda naona hu support kutembea na mke wa mtu kuna mda vingne msimamo wako haswa nn?Unakubali kutenda dhambi kwa tabia mbovu za mkeo 😄