Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Kaka wewe hujawai cheat?
Kwahiyo kama amewahi kucheat ndio una halalisha mke kucheat?

Toka lini mwanaume anacheat?

Kwa Africa na uarabuni mwanaume hacheat, labda kwa wazungu. Mwanaume anaoa wanawake hadi 10
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Aaah qmmaee..KATAA NDOA
 
Back
Top Bottom