kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
- Thread starter
-
- #21
Kwahiyo kuwa kabila mama ndiyo unaconclude kwamba wanyamwezi pekee ndiyo hawajui kusoma?
We umekaririshwa ukaambiwa Tabora wanyamwezi ni asilimia 70 hauna loloteSasa Kama hao wanyamwezi Ni
Wanyamwezi - 70%
Wasukuma - 10%
Hayo makabila mengine Ni 30% kwanini unanipinga kuwa wanyamwezi hawajui kusoma nini shida side
We umekaririshwa ukaambiwa Tabora wanyamwezi ni asilimia 70 hauna lolote
Ni tatizo kubwa sana kiongozi
Shule chache kiaje mzee kina abdala saidi fundikila kina kasanga tumbo unawajuwa kina samweli sita unajuwa kama ni wanyamwezi?Sijui tatizo no shule chache
Kutojua kusoma haina maana ni kilazaKwa mara nyingine tena wagalatia wanaongoza kwa wingi wa vilaza nchini, mikoa 6 kati ya 10
Kwa mara nyingine tena wagalatia wanaongoza kwa wingi wa vilaza nchini, mikoa 6 kati ya 10
Kutojua kusoma haina maana ni kilaza
Mtu anayeonekana kuwa mzembe wa kufikiri, asiyeelewa jambo haraka, au anayefanya makosa ya kijinga.Inamaana gani sasa nje ya kilaza
Leo J2, now nimetoka sala ya usiku, sitak dhambi πWe mkane tuπ
Wasukuma hao,ambao wengi ni wafugaji wamehamia tabora,ndiyo maana mkoa una watu wengi sana Sasa hivi,baada ya muda hiyo shida itahamia katavi na rukwa ambako wasukuma wengi wamehamia huko,si unaona hapo Kuna mikoa mingapi ya wasukuma ipo kumi boraTabora inaongoza kwa idadi ya watu wasiojua kusoma shida nini Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makao 2022 ya NBS, mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika Tanzania ni hii:
Top 10 kwa kutokujua kusoma
1. Tabora β 32%[/I] ya watu hawajui kusoma
2. Katavi β 29.6%
3. Rukwa β 25.9%
4. Simiyu β 25%
5. Dodoma β 23.7%
6. Kigoma β 23.3%
7. [Geita β 23%
8. Shinyanga β 22.7%
9. Lindi β 22.4%
10. Mtwara β 22%
Mfano halisi Tabora
Tabora ndio inaongoza. Kati ya watu 3,391,970, watu 1,100,003 (32%) hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu, wakati 2,280,008 tu ndio wanajua kusoma. 40cc
Kitaifa kwa ujumla, Watu 83% wanajua kusoma na kuandika kulingana na Sensa 2022, iliyopanda kutoka 78.1% mwaka 2012. Maana yake bado 17% ya Watanzania (takriban watu milioni 8) hawajui kusoma.
Chanzoπ±fisi ya tamisemi
sehemu yoyote alipo kobazi kuna majungu, fitna na uchawi kwa kiasi kikubwaAlipoweka kambi kobazi matatizo ni mengi zaidi ya sana
Sensa za siku hizi sio za kweli kwa vile watu wengi hawafikiwi kuhesabiwa. Mtaani kwetu wakati wa sensa ukiuliza watu wengi wanasema hawahahesabiwa. Hii ndio kisayanzi?Tabora inaongoza kwa idadi ya watu wasiojua kusoma shida nini Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makao 2022 ya NBS, mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika Tanzania ni hii:
Top 10 kwa kutokujua kusoma
1. Tabora β 32%[/I] ya watu hawajui kusoma
2. Katavi β 29.6%
3. Rukwa β 25.9%
4. Simiyu β 25%
5. Dodoma β 23.7%
6. Kigoma β 23.3%
7. [Geita β 23%
8. Shinyanga β 22.7%
9. Lindi β 22.4%
10. Mtwara β 22%
Mfano halisi Tabora
Tabora ndio inaongoza. Kati ya watu 3,391,970, watu 1,100,003 (32%) hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu, wakati 2,280,008 tu ndio wanajua kusoma. 40cc
Kitaifa kwa ujumla, Watu 83% wanajua kusoma na kuandika kulingana na Sensa 2022, iliyopanda kutoka 78.1% mwaka 2012. Maana yake bado 17% ya Watanzania (takriban watu milioni 8) hawajui kusoma.
Chanzoπ±fisi ya tamisemi