kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
Tabora inaongoza kwa idadi ya watu wasiojua kusoma shida nini Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makao 2022 ya NBS, mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika Tanzania ni hii:
Top 10 kwa kutokujua kusoma
1. Tabora — 32%[/I] ya watu hawajui kusoma
2. Katavi — 29.6%
3. Rukwa — 25.9%
4. Simiyu — 25%
5. Dodoma — 23.7%
6. Kigoma — 23.3%
7. [Geita — 23%
8. Shinyanga — 22.7%
9. Lindi — 22.4%
10. Mtwara — 22%
Mfano halisi Tabora
Tabora ndio inaongoza. Kati ya watu 3,391,970, watu 1,100,003 (32%) hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu, wakati 2,280,008 tu ndio wanajua kusoma. 40cc
Kitaifa kwa ujumla, Watu 83% wanajua kusoma na kuandika kulingana na Sensa 2022, iliyopanda kutoka 78.1% mwaka 2012. Maana yake bado 17% ya Watanzania (takriban watu milioni 8) hawajui kusoma.
Chanzo😱fisi ya tamisemi