Baadhi ya Wanyamwezi kutoka Tabora hawajui kusoma

Baadhi ya Wanyamwezi kutoka Tabora hawajui kusoma

Tabora inaongoza kwa idadi ya watu wasiojua kusoma shida nini Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makao 2022 ya NBS, mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika Tanzania ni hii:

Top 10 kwa kutokujua kusoma

1. Tabora — 32%[/I] ya watu hawajui kusoma
2. Katavi — 29.6%
3. Rukwa — 25.9%
4. Simiyu — 25%
5. Dodoma — 23.7%
6. Kigoma — 23.3%
7. [Geita — 23%
8. Shinyanga — 22.7%
9. Lindi — 22.4%
10. Mtwara — 22%

Mfano halisi Tabora

Tabora ndio inaongoza. Kati ya watu 3,391,970, watu 1,100,003 (32%) hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu, wakati 2,280,008 tu ndio wanajua kusoma. 40cc

Kitaifa kwa ujumla, Watu 83% wanajua kusoma na kuandika kulingana na Sensa 2022, iliyopanda kutoka 78.1% mwaka 2012. Maana yake bado 17% ya Watanzania (takriban watu milioni 8) hawajui kusoma.

Chanzo😱fisi ya tamisemi
Wasukuma hao,ambao wengi ni wafugaji wamehamia tabora,ndiyo maana mkoa una watu wengi sana Sasa hivi,baada ya muda hiyo shida itahamia katavi na rukwa ambako wasukuma wengi wamehamia huko,si unaona hapo Kuna mikoa mingapi ya wasukuma ipo kumi bora
 
Tabora inaongoza kwa idadi ya watu wasiojua kusoma shida nini Kwa mujibu wa Sensa ya Watu na Makao 2022 ya NBS, mikoa 10 inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu wasiojua kusoma na kuandika Tanzania ni hii:

Top 10 kwa kutokujua kusoma

1. Tabora — 32%[/I] ya watu hawajui kusoma
2. Katavi — 29.6%
3. Rukwa — 25.9%
4. Simiyu — 25%
5. Dodoma — 23.7%
6. Kigoma — 23.3%
7. [Geita — 23%
8. Shinyanga — 22.7%
9. Lindi — 22.4%
10. Mtwara — 22%

Mfano halisi Tabora

Tabora ndio inaongoza. Kati ya watu 3,391,970, watu 1,100,003 (32%) hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu, wakati 2,280,008 tu ndio wanajua kusoma. 40cc

Kitaifa kwa ujumla, Watu 83% wanajua kusoma na kuandika kulingana na Sensa 2022, iliyopanda kutoka 78.1% mwaka 2012. Maana yake bado 17% ya Watanzania (takriban watu milioni 8) hawajui kusoma.

Chanzo😱fisi ya tamisemi
Sensa za siku hizi sio za kweli kwa vile watu wengi hawafikiwi kuhesabiwa. Mtaani kwetu wakati wa sensa ukiuliza watu wengi wanasema hawahahesabiwa. Hii ndio kisayanzi?
 
Back
Top Bottom