Baadhi ya Watanzania waliposikia Rais Samia atalihutubia Taifa leo walifurahi sana. Walidhani anataka kujiuzulu

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
 
Waliosikiliza wanadai hata yeye mwenyewe hajui alichoongea

Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.

Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.

Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.

Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.
 
😀😀 mm hata sijajisumbua.
Niliwahi kuandika zamani kuwa wakati wowote ule inapotokea victim ni mwananchi na popetrator ni serikali,.siwez kuwa upande wa serikali
Huwez kuagiza vyombo viumize wananchi wako alaf Leo unahutubia. Sasa unamhutubia nani? Uliyetoa kibali apokonywe Haki zake au unahutubia wanachama wa chama chako?

Britanicca hai
 
Kuna jamaa aliandika uzi kitambo kwamba haelewi tunakoelekea, anadhani tunapotea, hatimaye imekuwa kweli
 
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
A good dancer must know when to leave the stage
 
😀😀 mm hata sijajisumbua.
Niliwahi kuandika zamani kuwa wakati wowote ule inapotokea victim ni mwananchi na popetrator ni serikali,.siwez kuwa upande wa serikali
Huwez kuagiza vyombo viumize wananchi wako alaf Leo unahutubia. Sasa unamhutubia nani? Uliyetoa kibali apokonywe Haki zake au unahutubia wanachama wa chama chako?

Britanicca hai
Natamani useme chochote cha ndani kwa haya yanayoendelea
 
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Mwenyewe muda huo sina, nilikuwa naangalia zangu porn tu
 
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Poor speech ever
 
Back
Top Bottom