Baadhi ya Watanzania waliposikia Rais Samia atalihutubia Taifa leo walifurahi sana. Walidhani anataka kujiuzulu

BInafsi nilijua atahuzunika kwa kilichotokea na kuonya mambo haya maovu yanayojitokeza au yale ya CCM kufurahia mauaji ya wapinzani.

Lakini ajabu mambo alioyaongea hata yeye mwenyewe atakuwa yupo anajishangaa, maana angeweza kuyaongea hata kesho sababu ni yale ya kiutaratibu.

Kwamba waitaiwezesha tume ya uchaguzi kwa kuipa fedha, muungano ni tunu n.k

Ni kama alikurupushwa na hakujua aje azungumzie nini
 
Teh teh teh,mm sijaisikiliza ila naona mitandaoni kina Millard Ayo wanapost baadhi ya Nukuu,aisee watz wamechafukwa hivi kwa namna hii Ccm inakuwaje haitoki madarakan?!! mbona kama haipendwi?!
No Reform,No Election ni jawabu tosha aisee
 
N
Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.

Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.

Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.

Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.
[/
ALIKUWA ANAFUNDISHA CIVICS FORM TWO, OUR GOVERNMENT
 
At least Captain Ibrahim Traore
 
Teh teh teh,mm sijaisikiliza ila naona mitandaoni kina Millard Ayo wanapost baadhi ya Nukuu,aisee watz wamechafukwa hivi kwa namna hii Ccm inakuwaje haitoki madarakan?!! mbona kama haipendwi?!
No Reform,No Election ni jawabu tosha aisee
Hatuna Raisi
 
Enzi za makufuli ukisikia anahutubia watu woote kwenye runinga tanzania nzima kimyaaa kumbe wanamsikiliza jembe la nchi mpaka leo hutuba zake nzuri sana huchoki kuzisikiliza
 
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Bila shaka waliosikitika watakuwa watu wako wa karibu sana kama vile hawara ya mkeo na boyfriend wa bintiyo sio?
 
Li
Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.

Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.

Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.

Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.

BInafsi nilijua atahuzunika kwa kilichotokea na kuonya mambo haya maovu yanayojitokeza au yale ya CCM kufurahia mauaji ya wapinzani.
Inasikitisha sana
 
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Uongo labda umehuzunika wew si tulijua n kwa ajili ya muungano na majungu
 
Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
huu mzigo bado tunao
 
Nimecheka weweee qjiuzulu wapi wakati amesha jichagua CCM mgombea pekee na soon kwa Kiti cha iraisi mgombeq pekee yaani raha tu atumywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa Mbele
Yaan mtu kawaachia wana ccm wenzie wale pesa za serikali wanavyoweza ili wasimletee chokochoko za kumuondoa afu leo mtu anawaza eti mtu kama huyo anaweza achia madaraka kirahis
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Unahutubia bongo halafu kuna gemu ya AlAhly na Mamelod, nani atakusikiliza?
Nimeangalia hii gemu, kuanzia dakika ya 1 hadi ya mwisho.... Hiyo hotuba kwa kweli sikuhangaika nayo.... Hata hivyo aliyemshauri raisi kutoa hotuba ktk kipindi hiki ni amekosea
 
Siyo wewe tu ni Nchi nzima
 
Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.

Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.

Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.

Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.
Mvuto wa viongozi wapigania Uhuru ulitokana na harakati za ukombozi kuondoa ukoloni.
Viongozi wengi wa nyakati hizi wanawarudisha wananchi wao kwenye ukoloni (Mamboleo) kwa sababu ya tamaa binafsi pamoja na ujinga wao na wachache wanaowazunguka.
 
Back
Top Bottom