Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.
Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.
Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.
Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.
[/
ALIKUWA ANAFUNDISHA CIVICS FORM TWO, OUR GOVERNMENT
At least Captain Ibrahim TraoreSijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.
Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.
Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.
Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.
Hatuna RaisiTeh teh teh,mm sijaisikiliza ila naona mitandaoni kina Millard Ayo wanapost baadhi ya Nukuu,aisee watz wamechafukwa hivi kwa namna hii Ccm inakuwaje haitoki madarakan?!! mbona kama haipendwi?!
No Reform,No Election ni jawabu tosha aisee
🤣🤣🤣Aisee, watu mna siri ivi...
Mkuu wa nchi anahutubia hata wengine hatuna taarfa, hii si sawa...
Aaya tudokezee sasa, kaongelea nini...!!?
No reform, No election..
.
Bila shaka waliosikitika watakuwa watu wako wa karibu sana kama vile hawara ya mkeo na boyfriend wa bintiyo sio?Kwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Duh. Hizi kauli ni kama za yule mshauri bwana Magoti!!Bila shaka waliosikitika watakuwa watu wako wa karibu sana kama vile hawara ya mkeo na boyfriend wa bintiyo sio?
Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.
Isipokuwa napenda tu kusema kwamba kwa Watawala wa nchi za Afrika waliopo madarakani hivi Sasa, hakuna hata mmoja ambaye mwenye sifa au uwezo wa kutoa Hotuba yenye mvuto, Hotuba yenye ushawishi na/au Hotuba yenye hoja zenye akili kama ilivyokuwa huko miaka ya nyuma nyakati za Utawala wa Waasisi wa Mataifa yetu haya ya kiAfrika. Kwanza karibia Watawala wote kabisa waliopo madarakani hivi Sasa kwenye nchi zetu hizi za kiAfrika hawana mvuto wa kisiasa wala mvuto wa kidiplomasia si kwa Wananchi wao wenyewe wala siyo kwa Raia wa Kimataifa hapa duniani.
Zama za waAfrika kuwa na Watawala wa nchi wenye mvuto mkali wa kisiasa zimepita, itachukua miaka mingi Sana hapa Afrika kuwapata tena Watawala wenye Sifa hizo mfano wa Nelson Mandela, Mwl. J. K. Nyerere, Haile Selassie, Muammar Ghadafi, n.k.
Barani Afrika kwa Sasa tuna bahati mbaya, kwani Watawala wetu wengi zaidi hawana mvuto wa kisiasa na wala hawana ushawishi katika jamii zetu na hata kwa diplomasia ya Kimataifa.
Inasikitisha sanaBInafsi nilijua atahuzunika kwa kilichotokea na kuonya mambo haya maovu yanayojitokeza au yale ya CCM kufurahia mauaji ya wapinzani.
Kwa kifupi DC Magoti ni mwanafunzi wangu. Pia amefundishwa Siasa na Wenje na Mawazo!!Duh. Hizi kauli ni kama za yule mshauri bwana Magoti!!
Uongo labda umehuzunika wew si tulijua n kwa ajili ya muungano na majunguKwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Tengua kauli. Rais hana majungu!!Uongo labda umehuzunika wew si tulijua n kwa ajili ya muungano na majungu
huu mzigo bado tunaoKwa bahati mbaya haikuwa hivyo. Wamesikitika sana
Mimi niliwaambia kuwa mtu mweusi hawezi kujiuzulu kirahisi hivyo
Hata Ndugai si kwamba alipenda , alilazimishwa.
Cheo cha Urais Tanzania hii ni kikubwa sana hakuna IGP, CDF au mtu yeyote anaweza kuthubutu kumshauri ajiuzulu.
Mimi sijasikiliza wala kutazama hiyo hotuba ya leo ya Mh. Rais bali nimeokoteza vinukuu tu kwenye mitandao ya kijamii.
Yaan mtu kawaachia wana ccm wenzie wale pesa za serikali wanavyoweza ili wasimletee chokochoko za kumuondoa afu leo mtu anawaza eti mtu kama huyo anaweza achia madaraka kirahisNimecheka weweee qjiuzulu wapi wakati amesha jichagua CCM mgombea pekee na soon kwa Kiti cha iraisi mgombeq pekee yaani raha tu atumywi sumu hatujinyongi CCM mbele kwa Mbele
Nimeangalia hii gemu, kuanzia dakika ya 1 hadi ya mwisho.... Hiyo hotuba kwa kweli sikuhangaika nayo.... Hata hivyo aliyemshauri raisi kutoa hotuba ktk kipindi hiki ni amekoseaUnahutubia bongo halafu kuna gemu ya AlAhly na Mamelod, nani atakusikiliza?
Siyo wewe tu ni Nchi nzimaNimeangalia hii gemu, kuanzia dakika ya 1 hadi ya mwisho.... Hiyo hotuba kwa kweli sikuhangaika nayo.... Hata hivyo aliyemshauri raisi kutoa hotuba ktk kipindi hiki ni amekosea
Mvuto wa viongozi wapigania Uhuru ulitokana na harakati za ukombozi kuondoa ukoloni.Sijapata kabisa kusikiliza hiyo Hotuba yake na mpaka sasa wala bado sijakifahamu hicho alichohutubia.