Baadhi ya Watanzania waliposikia Rais Samia atalihutubia Taifa leo walifurahi sana. Walidhani anataka kujiuzulu

Kwa hotuba niliyosikua....Sijaona hata sababu ya yeye kuhutubia.
 
Muandikie barua kama ile ya spika itupie humu.

Ukiwa unaisukuma serikali kufanya mambo yanayooneka kweli ni haki lazima utapata mvuto tu.
 
Hii nchi Raha sana, ukiwa Rais unaweza kujiteua Kuwa Rais wa awamu ijayo na hakuna wa kukupinga, Tayari Samia ndie Rais ajae, alijiteua mwanzoni mwa mwaka huu, na akamteua Makamu wa Rais ajae. Kuanzia mkuu wa majeshi, mkuu wa police na magereza wote ni makada wa tiifu wa CCM, hivyo ni uhakika hamna kupinduliwa
 
Hawqzi kujiuzuru mali za tanganyika zinampa uchizi hafai kuliko wahi tokea
 
Chama Cha Mashetani
Your browser is not able to display this video.
 
Hata mie bando langu limeisha bure, Sina nilichoambulia. Upuuzi mtupu aliyo ongea.
 
Kaongea kuhusu nini? Kwani yupo nchini si nilisikia kaenda Malawi?
 
Walahu yule dogo wa Burkina Faso anajitahidi! Wengine wanapata fursa ya kuiba na kuabudiwa
 
Angetangaza kujiuzulu, Watanganyika tungelipuka kwa furaha. Maana mafisadi waliomuweka kwenye hiyo nafasi ili wamtumie kwa maslahi yao, hatimaye wangekuwa na wenyewe wameshindwa.
 
Hata mimi nilifurahia nikidhani atajiudhulu, lakini bahati mbaya haikuwa hivyo.
 
Enzi za makufuli ukisikia anahutubia watu woote kwenye runinga tanzania nzima kimyaaa kumbe wanamsikiliza jembe la nchi mpaka leo hutuba zake nzuri sana huchoki kuzisikiliza
Pamoja na mapungufu yake ila hotuba za jpm zilikuwa na action, yaani impact unaiona.
Kwa mfano, kwa jpm jana kwenye hotuba angeweza kuagiza sherehe hazitafanyika na pesa za sherehe zielekezwe kwenda kujengwa hospital mkoa fulani...atlest mwananchi wa kawaida atakuwa amefaidika.
Sasa huyu bb kazungukwa na wahuni wapigaji kazi yao kuteka, kuua wakosoaji wanaotia kitumbua chao mchanga!!
Tumepigwa!!.
 
Watanzania siku hizi wameamua kuchagua vitu vyakuwaondolea stress tu.

Jana watu wengi walikuwa busy na mechi za Mamelod vs AlAhly.
Pyramid vs Orlando.
Ukiuliza matokeo ya hizo mechi 80% ya watanzania watakupa matokeo.
Ukiuliza kuhusu hotuba ya Rais 90% hawajui hata kama kulikuwa na hotuba ya Rais.
10% walikuwa wanajua, 1% walimsikiliza, 9% waliendelea na mambo yao (hapa namimi nipo).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…