Baadhi ya watu wa JF na tabia zao

You are the best one....Mwambie napenda the way unavyotutembezea .....💋💋💋 Am in love with you man🫂 "whozu bhana....Eti NAPENDA TABIA YANGU🎶🎶🎶🎵🤸🤸🤸
We acha hizo, nitampoteza Smart911 nisikukose
 
Kama hujamtaja mkwepu jr, basi utakuwa hujatenda haki kabisa! Jamaa hajawahi kuchangia chochote humu jamii forums! Yeye ni kutoa likes (reactions), halafu anapotea zake!

Huyu mkwepu jr sijui ana cheo gani hapa duniani! Sijui ni mmoja wa Moderator wa jamii forums! Yaani kama umejiunga jamii forums, halafu hujawahi kupata likes (reactions) kutoka kwa mkwepu jr, basi ujione kama mtu mwenye gundu kupitiliza.
 
Wewe kila nikigonga unachukua, naomba huyu uniachie nitakupa Shamba kibaigwa kama compensation. Mahondow ulimkula baby wangu, na shunie ukamchukua jumla sasa na huyu!
Bado kidogo nami ananichoka,kuwa mstahimilivu kolola
 
Daah!! Utakua umenifananisha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…