Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Ushauri wa buree kwa watumishi wenzangu tujitahidi kuwa na kipato mbadala hali niliyoishuhudia jana kwa rafiki yangu haipendezi kwakweli
 
Kama ni system ya BOT waliyosema ni afadhali waibadilishe maana imesababisha shida kubwa kubwa mno.Hadi sasa watumishi wengi ni kilio na familia zao sababu haijajulikana.Maafisa UTUMISHI wakiulizwa wanasema kwenye mtumishi hana tatizo ila system iliyotumiwa ndiyo shida.Yaani mnawafanya watu wasomeke majipu kwa wengine bila sababu za msingi.Hadi ATM zimechoka kuulizwa.Saikolojia za watu mmeziua mbaya sana.
 
Fanyeni Na ujasiliamali jamani. Ni aibu kulialia kila tarehe 20 ikifika.
Kwani Nani kalia hapo sasa,,,,mi nimeshea tu na wenzangu kwamba hata Mimi sijapata wala sijalia,, kingine mi ni mwanamke so usitarajie nilie njaa
 
Hata mi mwenyewe wameweka jioni hii, ambao bado kuweni na matumaini kwani wanaweka kwa awamu.
 
hatimae neno "salio lako halitoshelezi" limetoweka ktk ac yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…