Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Attachments

  • FB_IMG_1733849512712.jpg
    FB_IMG_1733849512712.jpg
    46.2 KB · Views: 2
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Lete story unazozijua, hizi nyingine zinakuzidi sana kimo
 
Hivi unajua nuhu alizaliwa na aliishi katika tamaduni za kibagani japokuwa alisikia sauti ya Mungu ikimwambia atengeneze Safina na akatii? Hata unywaji wa pombe wa Nuhu haukuwa mpango wa Mungu na mwisho wa siku ulizaa aibu, laana na utukufu kwa shetani. Mungu hawezi kuruhusu jambo lenye kuzaa uovu katika maisha ya watu.

Kitamaduni za kiitaliano na ibada zao za kibagani zinaruhusu unywaji wa pombe popote pale, Ukristo wa kale ulipotua Italy uliingizwa katika falme zao na kuboreshwa ili kuweza kuchangamana na tamaduni za kibagani za kiitaliano na kutokea hapo ukaenezwa duniani kwa mwamvuli wa kanisa. Leo hii ndio tunauita ukatoliki.

Ukristo halisi na unywaji wa pombe wapi na wapi?
Yesu alibadilisha maji na kuwa divai (kinywaji) na sio divai (Pombe). Kwanini? Huwezi ukabadilisha maji yakawa pombe kwenye sherehe, halafu watu wote wakanywa mpaka kutosheka halafu hapo hapo tukio hilo limrudishie Mungu utukufu. Unywaji wowote wa pombe vya kutosha huzaa aibu, upotofu na utukufu wa shetani.
Dogo mimi nimeandika yaliyomo kwenye Biblia Takatifu. Wewe unaandika kwa hisia. Huoni tofauti hapo?
 
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Ni kweli wakatoliki wote wataenda motoni, ni nyinyi waislam pekee ulimwengu huu ndio mtaenda peponi. Hongereni kwa kuwa na dini ya kweli mliyoletewa na waarabu viumbe first class wa Mungu.
 
Siku nyingine jifunze kusoma Bible, ili ujifunze kutofautisha mambo.
Ulichokileta hapo siyo maagizo, hivyo jifunze kwa kutofautisha kati ya parables na instructions.
Ndiyo maana hauoni popote pale wakristu kuwahi kukitumia hicho kifungu sababu kwao siyo agizo.
Kingine, Mkristo kabla ya kuyafuata maandiko kichwakichwa, huwa anatakiwa kuushirikisha vyema ubongo wake na wakati mwingine hutakiwa kuomba ili aangaziwe kuweza kuyaelewa maandiko.
Mkristo akisoma maandiko, kabla ya kufuata hutakiwa kuangalia, mazingira, nyakati na hata utamaduni. Ndiyo maana Wakristo wanahimizwa kusoma na kutafuta maarifa
 
Mathayo 11:18-19
18 Maana Yohana alikuja, hali wala hanywi, wakasema, Yuna pepo
19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Soma upya ufahamu maisha ya Yohana mbatizaji ndio utaelewa context ya hiyo habari.

Kwa kifupi sana, maisha ya Yohana mbatizaji yalikuwa yakujitenga na watu (akiishi Nyikani/porini) akiishi kwa kula nzige na asali, hii ilionekana kama sio kawaida kwa binadamu. Yesu alipokuja akaishi tofauti na Yohana, akikaa mijini zaidi, akijichanganya na watu zaidi kwenye tafrija mbalimbali, na hii ikatoa tafrisiri kuwa ni mlafi na mlevi.

Andiko hilo halihalarishi pombe, wala halisemi Yesu alikuwa mnywaji wa pombe, bali linatoa tafsiri ya maisha ya ujumla jumla ya Yohana vs Yesu.
 
Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.

Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Wapi unapatikana Ukristo kamili?
 
Mkuu dini zote zina makandokando mengi kwa sababu viongozi wake ni wanadamu wenye tabia za kibinadamu. Nitajie dini ambayo haina mambo ya kufikirisha! Kwa kifupi mimi nimesha-conclude kuwa sehemu watu wanapofuata dini sana ndizo zinaongoza kwa maovu. Na watu wanaojifanya ni wacha Mungu sana ndiyo wanaongoza kwa maovu. Angalia huyu Mwamposa anavyotapeli maskini bila huruma. Angalia Magufuli alivyokuwa anaibukia kanisani kila siku kumbe alikuwa na kikosi cha siri cha mauaji. Angalia huyu wa sasa na ushungi wake wakati anatuma watu kushusha abiria kwenye basi la abiria na kumuua. Angalie Mbowe na juhudi zake za kutafuta michango ya ujenzi wa kanisa kumbe ni mla rushwa mkubwa.
 
Back
Top Bottom