Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

cyo kweli!!ukisoma maandiko matakatifu Yesu kristo muujiza wa kwanza kufanya n kubadili maji kuwa pombe,,,rejea harusi ya kana!!
 
Wanajitetea sana kuwa wanakunywa kiasi,lakini pombe haina ukiasi,ikishaingia kwenye damu huwezi kukwepa ufisadi...
 
Kitabu cha Timotheo ni moja ya hivyo 66 mnavyodai ni halisi?

1 Timotheo 5:23
Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
 
Hebu panua akili na utafakari kwa kina,je katika zama za Yesu hapo Uyahudini watu walikua hawanywi pombe(mvinyo)?,je sherehe za wayahudi hazikuwa na mvinyo(pombe)?

Kama jibu ni ndio na facts zipo wazi kuwa jamii ya wayahudi ilitumia mvinyo pombe,kinacho kushangaza nini hasa tukio la sherehe kukosa pombe husasani harusi ya kana,ambapo baada ya pombe kuisha watu walikosa raha,ila baada ya Kristo kubadili maji kuwa mvinyo pombe watu walifurahi nasherehe kuchangamka..kwamba juis ndio ilichangamsha sherehe?

Tumia akili,pombe sio dhambi ila dhambi unaweza kunywa na wenzako ukafurahi ukarudi kulala kwako kwa amni kabisa.
 
Yesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
Kumekuwepo hoja kwamba wanaosema hakunywa au kushirikiana na wanywaji ndiyo waongo;
Hoja hiyo pamoja na mengine imejikita kwenye yanayohusu harusi ya Kana na karamu ya mwisho.
(Kama unaweza kuelimisha kuhusu haya mawili kuthibitisha ukweli kwa faida ya wengi).
 
Wanajitetea sana kuwa wanakunywa kiasi,lakini pombe haina ukiasi,ikishaingia kwenye damu huwezi kukwepa ufisadi...
Logically:
- Ulafi (kula kupita kiasi) ni dhambi. Kwahiyo watu waache kula maana kula hakuna kiasi?

- Kuendesha gari bila kiasi kunasababisha ajali. Kwa hiyo watu waache kuendesha gari?

Too much of anything is harmful. Jifunze kuwa na kiasi kwa kila kitu.
 
Hata hivyo 66 unavyoita vya Mungu ni subset ya vitabu 72 ambavyo Luther alivichukua kama vilivyo kwa Wakatoliki.
Kwa ufupi (kama hujui), si kwamba Wakatoliki waliongeza vitabu, ila Luther alipunguza vitabu!
Cha kumsikitikia zaidi ni kwamba bila ukatoliki hata hivyo vitabu 66 anavyoviamini visingekuwepo,RC ndio kanisa lenye hitoria yote ya ukristo hadi hivi leo.
 
Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.

Baadaye akasakamia pombe (hii ilikuwa tamaa yake, na sio Mungu alimtuma kufanya hivyo) akalewa na akaishia kupata aibu kuu. Hapa ilikuwa ni utii wa shetani.

Kifupi tu, Mungu au shetani anaweza kumshawishi mtu yoyote (mpagani au muumini) kufanya jambo fulani katika wakati fulani, uamuzi unabakia kwa mhusika.
 
Nuhu alijuaje kutengeneza pombe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…