Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Nenda uone.Hii sio sawa, ni jambo la hovyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda uone.Hii sio sawa, ni jambo la hovyo.
cyo kweli!!ukisoma maandiko matakatifu Yesu kristo muujiza wa kwanza kufanya n kubadili maji kuwa pombe,,,rejea harusi ya kana!!Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.
Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Wanajitetea sana kuwa wanakunywa kiasi,lakini pombe haina ukiasi,ikishaingia kwenye damu huwezi kukwepa ufisadi...Kwa wakatoliki unywaji wa pombe yoyote (hata gongo!) sio dhambi. Na wakatoliki wanajivunia kunywa pombe popote ikiwemo hata kanisani, wao wanasema wanakunywa kistaarabu.
Pale ukatolikini hakuna ukristo halisi, ni upagani wa Kiitaliano ulioboreshwa kwa tamaduni zilizoupokea ukristo wa kale na kuueneza duniani chini ya mwamvuli wa kanisa.
Tekila pia wana kunywaGongo?!
Kitabu cha Timotheo ni moja ya hivyo 66 mnavyodai ni halisi?Narudia kusema , Biblia ya Mungu iliandikwa na Waandishi 40, wakafanya jumla ya vitabu 66.
Wakati wa Utawala wa RUMI, katika kuwavutia Wa mataifa na Kanisa la Awali.
Rumi Kwa kutumia wasomi wao na wanahistoria, wakaongezea vitabu 6 ( hivi ni vitabu vya kimapokeo vilivyoandikwa na Rumi ). Kama ambavyo Sasa vitabu mbalimbali vinaandikwa.
Baada ya hapo, wakavitumia Vitabu hivi kuvichanganya na BIBLIA HALISI.
Ili Wanywa Pombe, wakisoma Kitabu Cha Sira walidhike kua Pombe ni Halali.
Na Wakristo wa kweli wakisoma wakorintho , walidhike pia kua Pombe ni haramu.
Huo ndo ujanja ujanja ulotumiwa na RC.
LUTHER , Kwa muda wake na Kusoma kiundan zaidiiii, AKASTUKAA, ALAAAAAA, KUMBE HAYA MAVITABU MANNE NI MAPOKEO YA TAWALA YA RUMI NASIO MANENO YA MUNGU.
Akaamua kujitoa Rasimi na kuanziasha vuguvugu liloamua kwenda na Vitabu 66 tu .
Mvinyo !S WAMERUSIWA JAMANI KWANI KUNA SHIDO? YESU NAE SI ALIKUNYWA
Hebu panua akili na utafakari kwa kina,je katika zama za Yesu hapo Uyahudini watu walikua hawanywi pombe(mvinyo)?,je sherehe za wayahudi hazikuwa na mvinyo(pombe)?Hivi unajua nuhu alizaliwa na aliishi katika tamaduni za kibagani japokuwa alisikia sauti ya Mungu ikimwambia atengeneze Safina na akatii? Hata unywaji wa pombe wa Nuhu haukuwa mpango wa Mungu na mwisho wa siku ulizaa aibu, laana na utukufu kwa shetani. Mungu hawezi kuruhusu jambo lenye kuzaa uovu katika maisha ya watu.
Kitamaduni za kiitaliano na ibada zao za kibagani zinaruhusu unywaji wa pombe popote pale, Ukristo wa kale ulipotua Italy uliingizwa katika falme zao na kuboreshwa ili kuweza kuchangamana na tamaduni za kibagani za kiitaliano na kutokea hapo ukaenezwa duniani kwa mwamvuli wa kanisa. Leo hii ndio tunauita ukatoliki.
Ukristo halisi na unywaji wa pombe wapi na wapi?
Yesu alibadilisha maji na kuwa divai (kinywaji) na sio divai (Pombe). Kwanini? Huwezi ukabadilisha maji yakawa pombe kwenye sherehe, halafu watu wote wakanywa mpaka kutosheka halafu hapo hapo tukio hilo limrudishie Mungu utukufu. Unywaji wowote wa pombe vya kutosha huzaa aibu, upotofu na utukufu wa shetani.
Kumekuwepo hoja kwamba wanaosema hakunywa au kushirikiana na wanywaji ndiyo waongo;Yesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
Kwahiyo Yesu alikuwa anatengeneza dhambi?Tofautisha kutengeneza tena baada ya kuombwa na mama yake ila hakunywa
Kwetu karibu na Mgandu njia ya kwenda Makongorosi huko ilikuwa inaitwa Cham 😄 !Tekila pia wana kunywa
Logically:Wanajitetea sana kuwa wanakunywa kiasi,lakini pombe haina ukiasi,ikishaingia kwenye damu huwezi kukwepa ufisadi...
Cha kumsikitikia zaidi ni kwamba bila ukatoliki hata hivyo vitabu 66 anavyoviamini visingekuwepo,RC ndio kanisa lenye hitoria yote ya ukristo hadi hivi leo.Hata hivyo 66 unavyoita vya Mungu ni subset ya vitabu 72 ambavyo Luther alivichukua kama vilivyo kwa Wakatoliki.
Kwa ufupi (kama hujui), si kwamba Wakatoliki waliongeza vitabu, ila Luther alipunguza vitabu!
NDIo maana mnamleta huyo mwarabu uwanja wa taifa Ili a spin imani za watu sio!!?View attachment 3189715
Gazeti la Mwananchi limeonyesha kabisa Waamini wa Kanisa la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam wakinywa Konyagi Kanisani.
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.Kwa hiyo alikunywa mvinyo akiwa mpagani au baada ya kusikia sauti ya Mungu na kutii?
Nuhu alijuaje kutengeneza pombe??Nuhu akiwa mpagani alisikia sauti ya Mungu ya kutengeneza Safina, mwamba akatii kutengeneza na kuingia huko. Hilo ni jambo moja.
Baadaye akasakamia pombe (hii ilikuwa tamaa yake, na sio Mungu alimtuma kufanya hivyo) akalewa na akaishia kupata aibu kuu. Hapa ilikuwa ni utii wa shetani.
Kifupi tu, Mungu au shetani anaweza kumshawishi mtu yoyote (mpagani au muumini) kufanya jambo fulani katika wakati fulani, uamuzi unabakia kwa mhusika.