Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Baadhi ya Waumini wa Kanisa Katoliki waonekana wakinywa Konyagi nje ya Kanisa la Mt. Joseph

Hivi nyinyi walevi mnadhani Mungu angesema hapa msilewe.
Alafu aje tena hapa aseme mlewe
Mnataka mungu awe hana msimamo na neno lake
Akisema usiibe ni hivyo kilele.
Akiseme usilewe ni hivyo milele

Divai ni juice
Mvinyo ni kilevi
Yesu alibadili maji kuwa juice
Asingelewesha watu.
Kilevi ni kwa mtu anaepotea biblia imesema
 
Wine sio divai
Wine ni mvinyo
Zote ni pombe hizo na wakatoliki tunakunywa tunapojisikia hatuna sababu ya kutishwa na maandiko, mapadre wetu wanayajua sana maandiko na tunakunywa nao ikitokea sababu na siku ya kufanya hivyo.
 
Para yako ya mwisho ndio umechemka. Pombe sio upagani. Yesu Kristu alitengeneza pombe nzuri sana kwenye Harusi ya Kana ukiwa ndio muujiza wake wa kwanza!

Mungu alimwambia Nuhu atengeneze Safina na aingiemo kwani anakwenda kuwaangamiza watenda dhambi. Nuhu pamoja na vitu vingine aliingia Safinani na pombe akawa anagonga mdogomdogo hadi maji yalipopungua akaenda kugongea nje. Akalaaniwa mtoto aliyemchungulia na sio Nuhu aliyekuwa amegonga mvinyo!

Niendelee?
Levi linaachwa ana laaniwa mtoto , vitu vingine ni vichekesho
 
Hivi nyinyi walevi mnadhani Mungu angesema hapa msilewe.
Alafu aje tena hapa aseme mlewe
Mnataka mungu awe hana msimamo na neno lake
Akisema usiibe ni hivyo kilele.
Akiseme usilewe ni hivyo milele

Divai ni juice
Mvinyo ni kilevi
Yesu alibadili maji kuwa juice
Asingelewesha watu.
Kilevi ni kwa mtu anaepotea biblia imesema
Nuhu alilewa ndani ya safina, wakati ni binadamu aliyepewa ujumbe wa kujenga safina ili aepushwe na gharika kuu.

Pombe ni chakula ikitumiwa kwa kiasi.
 
Uzi wa walokole, mawazo ya mleta mada hayana tofauti na vile vipindi vya WAPO Radio vimejaa mada za kupinga kinachofanywa na wakatoliki, wanapoteza muda wao bure tu.

Huku Mbezi Beach siku hizi walokole wanapita nyumba moja moja, wakifika hapo nje nawafukuza kwa kuwaambia waende nyumba zinazofuata, wakikujua wewe ni mkatoliki akili ile ya upingaji inawaingia na kutaka eti wakuokoe.

Badala ya kuwafuata waislam na wapagani wanadanganyika kwamba sisi wakatoliki ndio tunahitaji wokovu, wakati sisi tunafundishwa na mapadre wenye elimu za juu sana za masuala ya Theolojia.

Mungu haitambui elimu ya theology
Unatakiwa ujue hilo
Watumishi wa Mungu hamna mmoja aliewahi kwenda chuo
Petro alikuwa hajui kusoma wala kuandika
Wala yesu hakuwahinkwenda chuo
Nawalimkejeli kumuuliza umesoma wap ww ubishane na watu wenye elimu ya Mungu.

Watu wote walioitwa na mungu ilibidi theology zao zifutwe kisha wapewe nini Mungu anasema sio nini watu wanasema

Musa miaka 40 alifundishwa elimu mbalimbali akapelekwa jangwa ni miaka io io kufutiwa izo elimu.
Paulo pia alifutiwa izo.
Biblia jnasema elimu na akili za wanadamu kwamungu ni upuuzi
 
Nuhu alilewa ndani ya safina, wakati ni binadamu aliyepewa ujumbe wa kujenga safina ili aepushwe na gharika kuu.

Pombe ni chakula ikitumiwa kwa kiasi.
Nuhu hakulewa kwenye safina
Pia kumbuka nuhu alipitia shida na dhiki
Aliepewa neno kamilifu alikuwa ENOCK wakati nuhu anapitia mateso ya safina na gharika yeye alitwaliwa mbinguni asipitie izo shida
Na kumbuka kulewa kwa nuhu kulileta shida mpya ulimwenguni
 
Mungu haitambui elimu ya theology
Unatakiwa ujue hilo
Watumishi wa Mungu hamna mmoja aliewahi kwenda chuo
Petro alikuwa hajui kusoma wala kuandika
Wala yesu hakuwahinkwenda chuo
Nawalimkejeli kumuuliza umesoma wap ww ubishane na watu wenye elimu ya Mungu.

Watu wote walioitwa na mungu ilibidi theology zao zifutwe kisha wapewe nini Mungu anasema sio nini watu wanasema

Musa miaka 40 alifundishwa elimu mbalimbali akapelekwa jangwa ni miaka io io kufutiwa izo elimu.
Paulo pia alifutiwa izo.
Biblia jnasema elimu na akili za wanadamu kwamungu ni upuuzi
Unaposema Biblia inakataza ulevi ukumbuke kuwa kilichoandikwa mle ndani kimesomewa na hao wanaokifundisha kila kona duniani.

Hao maaskofu wenu wanaowaambia kuwa ulevi ni dhambi wanazo elimu hizo za Theolojia walizozisomea vyuoni, Mwakasege asingeweza kufundisha Biblia na vipindi vikarushwa hewani kama angekuwa hana elimu za vyuoni.
 
Nuhu hakulewa kwenye safina
Pia kumbuka nuhu alipitia shida na dhiki
Aliepewa neno kamilifu alikuwa ENOCK wakati nuhu anapitia mateso ya safina na gharika yeye alitwaliwa mbinguni asipitie izo shida
Na kumbuka kulewa kwa nuhu kulileta shida mpya ulimwenguni
Pombe inanywewa na itaendelea kunywewa dunia nzima. Wewe unaona haifai kaa na imani yako usitake kujidanganya kuikomboa dunia, huna uwezo huo.
 
Unaposema Biblia inakataza ulevi ukumbuke kuwa kilichoandikwa mle ndani kimesomewa na hao wanaokifundisha kila kona duniani.

Hao maaskofu wenu wanaowaambia kuwa ulevi ni dhambi wanazo elimu hizo za Theolojia walizozisomea vyuoni, Mwakasege asingeweza kufundisha Biblia na vipindi vikarushwa hewani kama angekuwa hana elimu za vyuoni.
Hao woote unaowasema ni watumishi wa kielimu ila hawakuitwa na Mungu
Mungu akikuita anakupa elimu yake ya kiungu na sio ya chuo

Paulo alikuwa na elimu kubwa ya chuo na theology kutoka kwa Gamaliaeli
Lakini Mungu alimpeleka jangwani miaka 3 akamfuta yoote akampa kile anachokitaka
Hakuna kwenye biblia mtu mmoja aliesomea vyuo akamtumikia Mungu

Mungu hatumii watu wenye elimu na madegree
Mungu anatumia mtu mnyofu wa Moyo na ambae hazitegemei akili zake
Hao waliosoma vyuoni walitolka wakaja kupingana na neno waliloenda kusomea

Hivyo vyuo vunafundisha mwanamke awe mchungaji,vinafundisha minada,vinafundisha sala za sanamu na mambo mengi bado unadhani vunaMungu ndani yake
 
Pombe inanywewa na itaendelea kunywewa dunia nzima. Wewe unaona haifai kaa na imani yako usitake kujidanganya kuikomboa dunia, huna uwezo huo.
Mungu mwenyewe hajawahi kuikombia dunia
Anakomboa mtu moja moja kibinafsi
Fatilia vipindi vyote
Na huwa ni watu wachache sana
Kipindi cha nuhu satu wa nane, kipindi ya sodoma watu wanne
Kipind cha eliya watu 7000
Na inasema wakati huu idadi itakuwa ndogo zaidi kwaio si ajabu
 
Hao woote unaowasema ni watumishi wa kielimu ila hawakuitwa na Mungu
Mungu akikuita anakupa elimu yake ya kiungu na sio ya chuo

Paulo alikuwa na elimu kubwa ya chuo na theology kutoka kwa Gamaliaeli
Lakini Mungu alimpeleka jangwani miaka 3 akamfuta yoote akampa kile anachokitaka
Hakuna kwenye biblia mtu mmoja aliesomea vyuo akamtumikia Mungu

Mungu hatumii watu wenye elimu na madegree
Mungu anatumia mtu mnyofu wa Moyo na ambae hazitegemei akili zake
Hao waliosoma vyuoni walitolka wakaja kupingana na neno waliloenda kusomea

Hivyo vyuo vunafundisha mwanamke awe mchungaji,vinafundisha minada,vinafundisha sala za sanamu na mambo mengi bado unadhani vunaMungu ndani yake
Dunia ya sasa sio hiyo ya kina Paulo na Musa hii ni ya kisayansi ni lazima upige shule ili uweze kuwa na mamlaka ya kusimama na kuhubiri mbele ya watu.

Mapadre wa kanisa katoliki ni lazima wawe na degree na wameitwa na Mungu. Maaskofu wa TEC wote wale wana PHD za masomo mbalimbali. Elimu ya kisasa ni njia nzuri ya kulisafirisha neno la Mungu kwa urahisi zaidi.
 
Isaya 5:22
[22]Ole wao walio hodari kunywa kileo chenye nguvu, watu waume wenye nguvu kuchanganya vileo;
Woe unto them that are mighty to drink wine, and men of strength to mingle strong drink:
 
Mungu mwenyewe hajawahi kuikombia dunia
Anakomboa mtu moja moja kibinafsi
Fatilia vipindi vyote
Na huwa ni watu wachache sana
Kipindi cha nuhu satu wa nane, kipindi ya sodoma watu wanne
Kipind cha eliya watu 7000
Na inasema wakati huu idadi itakuwa ndogo zaidi kwaio si ajabu
Mnapoteza muda tu kuongelea unywaji wa pombe hapo kanisani.
 
Waefeso 5:17-18
[17]Kwa sababu hiyo msiwe wajinga, bali mfahamu ni nini yaliyo mapenzi ya Bwana.

[18]Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
;
 
Back
Top Bottom