Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unamaanisha mleta uzi ni "tolu"?Wengine sie warefu hatuwezi kuangaliwa hivyo kama mleta mada
Sent using Nokia 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha mleta uzi ni "tolu"?Wengine sie warefu hatuwezi kuangaliwa hivyo kama mleta mada
Sent using Nokia 6
umemaliza kila kitu.uzi uishie apaHivi unajua aina za miwani ya macho ziko ngapi ?
Ngoja nikupe shule.
Miwani ya macho ipo ya aina mbili.
1.ya kuona karibu/ya kusomea maandishi madogo
2.ya kuona mbali.
Mara miwani ya kusomea/maandishi madogo ukimuangali mtu aliye umbali kidogo inakuwa humuoni vizuri ndo maana watu wengine huo wanaangalia kwa macho ya kawaida kupitia juu ya miwani.
Na siyo dharau au jeuri kama unavyofikiri
Ni kweli bifocal inasaidia sana,lakini unajua bei yake ?Kuna bifocal inasaidia kunona mbali na karibu
tueleweshane vizuri bila kutukanana.
Usishangae hiyo huwa ni miwani ya kusomea tu. Miwani ya urembo ndiyo huziba macho. Na Ile ya kusomea haikubali kutumika kuangalia kawaida. Ni lazima uisogeze mbele kulipa jicho nafasi kwa matumizi mengine ya kuona.Kuvaa miwani tunajua kuwa huenda una matatizo serious ya macho na sio urembo kwa baadhi ya watu wangine wafanyavyo
Lakini kuna kajitabia kanakofanywa na wavaa miwani kwa kweli kanakera sana,
Wakati unazungumza na mtu ambaye amevaa miwani badala ya kukuangalia kawaida na miwani yake, cha ajabu anakuangalia juu ya miwani
Yaani ameinamisha kichwa,macho yake yanakuangalia kwa kupenyeza juu ya miwani,inakera mno hii tabia halafu ni dharau kabisa,kama humuoni unayezungumza naye vizuri vua miwani mzungumze lakini sio kulazimisha macho yaangalie kwa kupitia juu ya miwani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndivyo,kwanini asivue ili akuangalie kawaida maana hakuna haja ya miwani,kuliko kupenyeza macho kwa juuLens ya miwani ni tofauti na natural lens ya jicho. Lens ya jicho zima, hubadilika vizuri saizi kulingana na umbali wa kitu kinachotizamwa. Ila lens ya miwani haina uwezo huo. Kama umevaa miwani ya kusomea, ukinyanyua kichwa na kutizama mbali, hutoweza kuona vizuri kwa sababu lens hiyo ni ya kuonea karibu na haibadiliki saizi unapotizama mbali. Ili uweze kuona mbali, inabidi usitumie lens ya miwani. Ndio hapo unamwona mwenye miwani akitumia kasehemu ka juu ya miwani kuona mbali vizuri. Siyo mikogo hiyo. Mungu akikupa umri, kuna siku utafika hatua hiyo na kuelewa vizuri.
Kama ndivyo,kwanini asivue ili akuangalie kawaida maana hakuna haja ya miwani,kuliko kupenyeza macho kwa juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli mi navaa miwani miaka enda uje lakini sijawahi angalia kwa namna hiyo,nilichogundua bana hiyo ni auto-adapted behaviour kwa wavaa miwani wala si dharau.
ukitaka kuamini nunu miwan ha mwanga vaa wiki moja hakika utakuwa unawaangalia watu kama unavyo eleza.
[emoji375][emoji375]
Si kweli mi navaa miwani miaka enda uje lakini sijawahi angalia kwa namna hiyo,
Hicho ni kitabia tu cha mtu na kinakera kwakweli... Kuna mbaba mmoja ndo tabia yake kuangalia hivyo unakuta unamsalimia anakuangalia juu ya miwani halafu haitikii [emoji53][emoji53]
Sent using Jamii Forums mobile app
UbarikiweKuna kikongwe mmoja alikuwa anaoga bafuni. Alivyonyanyua kifuniko cha tundu la sink tu ili maji yapite, tetemeko kubwa ardhi likaja. Nyumba ikabomoka, akafukiwa. Bahati nzuri waokoaji walimfikia na kumtoa. Alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alisema: "Nawashauri watu waepuke kufungua vizibo vya ma-sink. Nilipofungua kizibo cha sink tu, nyumba yangu ikabomoka na kifusi kunifukia". Kwa kuhusishanisha kuona kwa kupitia juu ya miwani na kutokusalimia mtu, akili yako ni sawa na ya bibi huyo.
well said mkuu...Hivi unajua aina za miwani ya macho ziko ngapi ?
Ngoja nikupe shule.
Miwani ya macho ipo ya aina mbili.
1.ya kuona karibu/ya kusomea maandishi madogo
2.ya kuona mbali.
Mara miwani ya kusomea/maandishi madogo ukimuangali mtu aliye umbali kidogo inakuwa humuoni vizuri ndo maana watu wengine huo wanaangalia kwa macho ya kawaida kupitia juu ya miwani.
Na siyo dharau au jeuri kama unavyofikiri
nilichogundua bana hiyo ni auto-adapted behaviour kwa wavaa miwani wala si dharau.
ukitaka kuamini nunu miwan ha mwanga vaa wiki moja hakika utakuwa unawaangalia watu kama unavyo eleza.
[emoji375][emoji375]
si hadi avue sasa asipovua lazima tu afanye kama anakuchunguliaHakuna kitu kama hicho, wanaojiheshimu wote, huwa wanavua miwani na kumsikiliza mtu ambae anazungumza nae.
Sent using Jamii Forums mobile app