Baadhi ya wavaa miwani mnakera sana

Baadhi ya wavaa miwani mnakera sana

Hivi unajua aina za miwani ya macho ziko ngapi ?
Ngoja nikupe shule.
Miwani ya macho ipo ya aina mbili.
1.ya kuona karibu/ya kusomea maandishi madogo
2.ya kuona mbali.
Mara miwani ya kusomea/maandishi madogo ukimuangali mtu aliye umbali kidogo inakuwa humuoni vizuri ndo maana watu wengine huo wanaangalia kwa macho ya kawaida kupitia juu ya miwani.
Na siyo dharau au jeuri kama unavyofikiri
umemaliza kila kitu.uzi uishie apa
 
Kuna bifocal inasaidia kunona mbali na karibu
Ni kweli bifocal inasaidia sana,lakini unajua bei yake ?
Bei yake iko juu sana kwa hiyo siyo wote wenye uwezo wa kunujua bifocal
 
Siyo wote wana uwezo wa kununua bi-focal lens. Na hakuna sheria inayowataka wote wenye miwani wavae bi-focal. Na hata bi-focal siyo perfect. Ninayo mimi. Nikimaliza kusoma na kutizama mbali kwa kutumia sehemu ya juu ya miwan/lens ambayo ndio inatumiwa kwa kuangalia mbali, vitu vilivyoko mbali vinakuwa blurred kiasi fulani. Kitu ambacho ni perfect ni lens ya Mungu wakati ikiwa nzima.

QUOTE="tempid, post: 31093389, member: 508448"]
Kuna bifocal lens mkuu inakusaidia kuona mbali na karibu.
[/QUOTE]
 
Kuvaa miwani tunajua kuwa huenda una matatizo serious ya macho na sio urembo kwa baadhi ya watu wangine wafanyavyo

Lakini kuna kajitabia kanakofanywa na wavaa miwani kwa kweli kanakera sana,

Wakati unazungumza na mtu ambaye amevaa miwani badala ya kukuangalia kawaida na miwani yake, cha ajabu anakuangalia juu ya miwani

Yaani ameinamisha kichwa,macho yake yanakuangalia kwa kupenyeza juu ya miwani,inakera mno hii tabia halafu ni dharau kabisa,kama humuoni unayezungumza naye vizuri vua miwani mzungumze lakini sio kulazimisha macho yaangalie kwa kupitia juu ya miwani

Sent using Jamii Forums mobile app
Usishangae hiyo huwa ni miwani ya kusomea tu. Miwani ya urembo ndiyo huziba macho. Na Ile ya kusomea haikubali kutumika kuangalia kawaida. Ni lazima uisogeze mbele kulipa jicho nafasi kwa matumizi mengine ya kuona.

SIJUI KAMA UTAELEWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lens ya miwani ni tofauti na natural lens ya jicho. Lens ya jicho zima, hubadilika vizuri saizi kulingana na umbali wa kitu kinachotizamwa. Ila lens ya miwani haina uwezo huo. Kama umevaa miwani ya kusomea, ukinyanyua kichwa na kutizama mbali, hutoweza kuona vizuri kwa sababu lens hiyo ni ya kuonea karibu na haibadiliki saizi unapotizama mbali. Ili uweze kuona mbali, inabidi usitumie lens ya miwani. Ndio hapo unamwona mwenye miwani akitumia kasehemu ka juu ya miwani kuona mbali vizuri. Siyo mikogo hiyo. Mungu akikupa umri, kuna siku utafika hatua hiyo na kuelewa vizuri.
Kama ndivyo,kwanini asivue ili akuangalie kawaida maana hakuna haja ya miwani,kuliko kupenyeza macho kwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika sheria za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hakuna sheria inayo lazimisha hivyo. Katika dakika moja, binadamu wa kawaida atatizama vitu vya mbali na karibu mara nyingi. Hauwezi kuwa unavua miwani na kuvaa mara 10 katika dakika 1. Utaonekana kituko. Sitaki kukutukana kama yule mwenzangu.

Kama ndivyo,kwanini asivue ili akuangalie kawaida maana hakuna haja ya miwani,kuliko kupenyeza macho kwa juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilichogundua bana hiyo ni auto-adapted behaviour kwa wavaa miwani wala si dharau.
ukitaka kuamini nunu miwan ha mwanga vaa wiki moja hakika utakuwa unawaangalia watu kama unavyo eleza.

[emoji375][emoji375]
Si kweli mi navaa miwani miaka enda uje lakini sijawahi angalia kwa namna hiyo,
Hicho ni kitabia tu cha mtu na kinakera kwakweli... Kuna mbaba mmoja ndo tabia yake kuangalia hivyo unakuta unamsalimia anakuangalia juu ya miwani halafu haitikii [emoji53][emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kikongwe mmoja alikuwa anaoga bafuni. Alivyonyanyua kifuniko cha tundu la sink tu ili maji yapite, tetemeko kubwa ardhi likaja. Nyumba ikabomoka, akafukiwa. Bahati nzuri waokoaji walimfikia na kumtoa. Alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alisema: "Nawashauri watu waepuke kufungua vizibo vya ma-sink. Nilipofungua kizibo cha sink tu, nyumba yangu ikabomoka na kifusi kunifukia". Kwa kuhusishanisha kuona kwa kupitia juu ya miwani na kutokusalimia mtu (mambo ambayo hayana uhusiano km kufungua sink na tetemeko la ardhi), akili yako ni sawa na ya bibi huyo.
Si kweli mi navaa miwani miaka enda uje lakini sijawahi angalia kwa namna hiyo,
Hicho ni kitabia tu cha mtu na kinakera kwakweli... Kuna mbaba mmoja ndo tabia yake kuangalia hivyo unakuta unamsalimia anakuangalia juu ya miwani halafu haitikii [emoji53][emoji53]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kikongwe mmoja alikuwa anaoga bafuni. Alivyonyanyua kifuniko cha tundu la sink tu ili maji yapite, tetemeko kubwa ardhi likaja. Nyumba ikabomoka, akafukiwa. Bahati nzuri waokoaji walimfikia na kumtoa. Alipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alisema: "Nawashauri watu waepuke kufungua vizibo vya ma-sink. Nilipofungua kizibo cha sink tu, nyumba yangu ikabomoka na kifusi kunifukia". Kwa kuhusishanisha kuona kwa kupitia juu ya miwani na kutokusalimia mtu, akili yako ni sawa na ya bibi huyo.
Ubarikiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua aina za miwani ya macho ziko ngapi ?
Ngoja nikupe shule.
Miwani ya macho ipo ya aina mbili.
1.ya kuona karibu/ya kusomea maandishi madogo
2.ya kuona mbali.
Mara miwani ya kusomea/maandishi madogo ukimuangali mtu aliye umbali kidogo inakuwa humuoni vizuri ndo maana watu wengine huo wanaangalia kwa macho ya kawaida kupitia juu ya miwani.
Na siyo dharau au jeuri kama unavyofikiri
well said mkuu...


mimi mzee wangu anatumia miwani kusomea so akikuangalia either akuangalie kwa kushusha kidogo au atoe kabisa miwani. so sio dharau kama inavosemekana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho, wanaojiheshimu wote, huwa wanavua miwani na kumsikiliza mtu ambae anazungumza nae.
nilichogundua bana hiyo ni auto-adapted behaviour kwa wavaa miwani wala si dharau.
ukitaka kuamini nunu miwan ha mwanga vaa wiki moja hakika utakuwa unawaangalia watu kama unavyo eleza.

[emoji375][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
hayo ndio masharti ya kitabibu, hata mimi ndivyo nilivyoelekezwa matukio normal yote naangalia juu ya miwani isipokuwa kusoma tu, karibu tuonane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom