Baba ake Ommy Dimpoz alalamika kutengwa na mwanae

Kabisa Mkuu, sisi tulitarajia saa hizi alalamike kuwa amempa Ommy shamba la ekari nne kule Mpanda, ila Ommy halisimamii vizuri Watu wameanza kusogeza mipaka.
 
Kabisa Mkuu, sisi tulitarajia saa hizi alalamike kuwa amempa Ommy shamba la ekari nne kule Mpanda, ila Ommy halisimamii vizuri Watu wameanza kusogeza mipaka.
Yeah, au kamwachia pagala ameshindwa kumalizia.
 
Mbona anatudhalilisha wala mihogo wengine? Kwanza sio kushindia mihogo, ni kula mihogo, kama una matatizo na mwanao deal nayo mwenyewe achana na mihogo yetu. We mzee vipi?
Eti bhana, kule Ngalimi mitaa ya viwanda ukikatiza mchana unakuta Wahindi wamepiga foleni kwa Mama mkaanga mihogo, ukiwauliza wanakuambia "Ogo tamu sinda kate"
 
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?
We usifananishe Baba wote.

Kuna kina baba wengine aise sio, unamfuata baa yupo na kimada/vimada, unapewa matusi wewe na mengine umpelekee Mama yako/mzazi mwenzake.
 
OK Mwenyez Mungu anipe uhai nipate kumlea mzazi Wangu mpk Mwisho wa uhai wake inshallah.
 
Kumbuka baba yako alikuzaa akiwa fukara kauza mashamba Ili usome ,kajenga nyumba kishida shida watoto wake wastirike kweli Dunia imevaa kimini leo unamuona baba yako hana thamani tena Eti Apambane na hali yake ?
Sawa, kwa hiyo alikuwa anauza hilo shamba nisome ili baadae nimrudishie?, Mku iko hivi, kama wewe ni mzazi, fahamu kuwa kusomesha au kuhudumia wanao siyo investment kwamba utegemee return baadae, huo ni wajibu wako, usisomeshe halafu baadae uanze kuwadai wakutunze.
 
UNAWEZA KUNUNUA BAJAJI HALAFU UNASHINDWA KUNUNUA CHAKULA, HUU SI UFALA. JAPO NI WAJIBU WA MTOTO KUMWANGALIA MZAZI LAKINI HUYU AMEZIDI
 
Apambane na Hali yake jitu lmeshba nakitambi juu afu anataka atunzwe mzee miaka 64 n kidogo bado unanguvu
 
Haipaswi Ila tunapaswa kuwatunza wazee wetu mzazi hata akiwa tajiri Ila anafarijika kuona watoto wake wakimjal hata kwa kipande cha mkatae.
 
Ingekuwa omy ni mvuta bangi au kibaka angeyasema hayo yote? Empty head
 
OK Mwenyez Mungu anipe uhai nipate kumlea mzazi Wangu mpk Mwisho wa uhai wake inshallah.
Wewe huna watoto wala familia?, utalea familia ngapi? Ni tajiri sana wewe? Mzazi kama huyo wa Dimpoz mzima wa afyana ana nguvu tele anashindwa nini kufanya kazi hadi umtunze?

Gazeti la leo la Mwananchi wanasema, kati ya wa tz 100, 92 ni tegemezi, nyie ndio mnatengeneza hao tegemezi bila sababu zozote a msingi kutokana na upuuzi wenu huu, kila mtu afanye kazi.
 
Kila mtu na mtazamo wake mimi sio tajiri Ila kidogo nikipatacho siach kumkumbuka mzazi Wangu.

Mpuuzi ni wewe na ukoo wako. Nikutakie jion njema
 
Ndo yaleyale ya MZEE Abdul nahisi
 
Pole mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…