Mi nilikuona unampa yule totoz wa jirani afu unam mind mshua. Shauri yako laana ni zaidi ya albadili.Habari za saizi wana JF chit-chat
Kichwa cha mada chajieleza
- siku tatu zilizopita niliomba mzee anipige tough hela ili niongezee kwenye ada , akaniahidi nimsubiri kidogo , Leo amenipatia hiyo ada lakini nilivyoenda kuoga sijaikuta na home tulikua wawili tu, lazima atakua ameniibia yeye mwenyewe!
Ndio kusema hali ngumu sana adi ameamu a kunizunguka mwanae?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]