Baba Ameniibia ada aliyonipa!!

Baba Ameniibia ada aliyonipa!!

Josey j

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2017
Posts
466
Reaction score
908
Habari za saizi wana JF chit-chat

Kichwa cha mada chajieleza
- siku tatu zilizopita niliomba mzee anipige tough hela ili niongezee kwenye ada , akaniahidi nimsubiri kidogo , Leo amenipatia hiyo ada lakini nilivyoenda kuoga sijaikuta na home tulikua wawili tu, lazima atakua ameniibia yeye mwenyewe!

Ndio kusema hali ngumu sana adi ameamu a kunizunguka mwanae?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Je na wewe mzaz wa JF unaweza fikia hatua iyo ? Kuna akina baba huwapa pesa wake zao na kuwaibia Tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hii haijakaa sawasawa hii mshua hali imemtight
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] na ukimuuliza mzee ataruka ft100. Hapo anakuhesabia kashamaliza habari za ada mkutane mwakani tena. Mjini shule...
 
MKUU HIYO HUKU KWETU TUNAITA MBWA KALA MBWA aka ZUBAA UZIKWE.Vyuma vimekaza mkuu
 
Habari za saizi wana JF chit-chat

Kichwa cha mada chajieleza
- siku tatu zilizopita niliomba mzee anipige tough hela ili niongezee kwenye ada , akaniahidi nimsubiri kidogo , Leo amenipatia hiyo ada lakini nilivyoenda kuoga sijaikuta na home tulikua wawili tu, lazima atakua ameniibia yeye mwenyewe!

Ndio kusema hali ngumu sana adi ameamu a kunizunguka mwanae?[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mi nilikuona unampa yule totoz wa jirani afu unam mind mshua. Shauri yako laana ni zaidi ya albadili.
 
Kuna rafiki yangu pia baba ake alikuwa na tabia hiyo Yaani ulikuwa mfumo wao,, anawaambia nawafundisha kutunza pesa maana pesa inahitaji heshima, Huyu hata akimpa mama ya mboga akipita mara 2 iko mezani anachukua na hatoi tena anasema alishatoa [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom