Huu ni uchocheziWanadai eti mwenye mji wake karudi toka kwa watengeneza Toothpick kisha yule binti aliyesherekea birthday ya miaka 18 wakati ana 17 katoka alikokaa mandela muda mrefu kabla hajawa Rais..
Mimi hata sivielewiNa we umekuja mkuu sio mbaya
Naona giza kimetanda tu ShunieKwa nini tena mkuu
Huo ni udaku wa Insta Sio Mie..Huu ni uchochezi
Na lazima nitakuja na Nissani nyeupe
*...huwezi kumjaribu mtukufu*
Kama Baba amefika, mtoto mbona haonekani kitaa au bado kavishwa nguo nyeusiii tii mtaani tusimwone
Au anatembea usiku mnene na Nissani jeusiiiiiiii
Mtoto Mkuu wa Baba, siku hz Yuko kimya Sana
Au anajipanga na nyu yiaaaaa 2020 kule kolomajaaaiii
Mkuu kwani soweto wameshamtoa mjukuu wa mandela? Si nilisikia kwamba atalinda nyumba ya babu yake kwa miaka miwili? juu kuna wezi wengi tu. Na mtoto aliyetoka nyumbani bila ruhusa ya baba yake ameshapatikana?[emoji16] [emoji16] [emoji16]Wanadai eti mwenye mji wake karudi toka kwa watengeneza Toothpick kisha yule binti aliyesherekea birthday ya miaka 18 wakati ana 17 katoka alikokaa mandela muda mrefu kabla hajawa Rais..
Unamaanisha lulu katoka gerezani?Wanadai eti mwenye mji wake karudi toka kwa watengeneza Toothpick kisha yule binti aliyesherekea birthday ya miaka 18 wakati ana 17 katoka alikokaa mandela muda mrefu kabla hajawa Rais..
Sio vizuri tunangonjekaaMkuu kwani soweto wameshamtoa mjukuu wa mandela? Si nilisikia kwamba atalinda nyumba ya babu yake kwa miaka miwili? juu kuna wezi wengi tu. Na mtoto aliyetoka nyumbani bila ruhusa ya baba yake ameshapatikana?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu naona umeelewa fasihi MUBASHARASio vizuri tunangonjekaa