Baba ameshafika

Baba ameshafika

Shunie

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
154,929
Reaction score
459,607
Inavyosemekana mambo kwa codes tu ebu mkuje Numbisa Dinazarde Mzigua90 Beef Lasagna geniveros Sakayo carbamazepine demi warumi MBITIYAZA Neybright Ms.Lincoln ukhuty Maserati espy Miss Natafuta na wengineo huyu Milly sio mtu mzuri jaman si kwa code hii
cf25de7e18675de67155e617f36892b1.jpg
 
Wanadai eti mwenye mji wake karudi toka kwa watengeneza Toothpick kisha yule binti aliyesherekea birthday ya miaka 18 wakati ana 17 katoka alikokaa mandela muda mrefu kabla hajawa Rais..
Huu ni uchochezi
Na lazima nitakuja na Nissani nyeupe
*...huwezi kumjaribu mtukufu*

Kama Baba amefika, mtoto mbona haonekani kitaa au bado kavishwa nguo nyeusiii tii mtaani tusimwone

Au anatembea usiku mnene na Nissani jeusiiiiiiii

Mtoto Mkuu wa Baba, siku hz Yuko kimya Sana
Au anajipanga na nyu yiaaaaa 2020 kule kolomajaaaiii
 
Huo ni udaku wa Insta Sio Mie..
 
Wanadai eti mwenye mji wake karudi toka kwa watengeneza Toothpick kisha yule binti aliyesherekea birthday ya miaka 18 wakati ana 17 katoka alikokaa mandela muda mrefu kabla hajawa Rais..
Mkuu kwani soweto wameshamtoa mjukuu wa mandela? Si nilisikia kwamba atalinda nyumba ya babu yake kwa miaka miwili? juu kuna wezi wengi tu. Na mtoto aliyetoka nyumbani bila ruhusa ya baba yake ameshapatikana?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Sio vizuri tunangonjekaa
 
Back
Top Bottom