Baba ameshafika

Mi milly alinipa block,,na code zake anaudhi sasa baba yupi mi hata sielewi
Huyu Milly ni konyoo anaudhi aisee nimesoma comments watu wamefungua code sijui ni kweli inasemekana daddy's coming kamtoa queen of mashauzi
 
Mkuu kwani soweto wameshamtoa mjukuu wa mandela? Si nilisikia kwamba atalinda nyumba ya babu yake kwa miaka miwili? juu kuna wezi wengi tu. Na mtoto aliyetoka nyumbani bila ruhusa ya baba yake ameshapatikana?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Mmh
 
Utawaweza watu wa mtamdao wa album ya picha basi..
 
Yule ANDUNJE atoke na bado mtaa Mzima upo kimya! Naanza kuamini vyuma, vyuma mpk wabongo hawana time udaku!
 
Huyu Milly ni konyoo anaudhi aisee nimesoma comments watu wamefungua code sijui ni kweli inasemekana daddy's coming kamtoa queen of mashauzi
Lulu katolewa na makonda?
 
Code code mie milly huwa hata simuelewi kbs na habar zake nusu nusu
 
Inasemekana eti DAB kamtoa mke wa rate brother bongo movie. Ndio nilivoona kwa wambea wa mule insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…