Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhMkuu kwani soweto wameshamtoa mjukuu wa mandela? Si nilisikia kwamba atalinda nyumba ya babu yake kwa miaka miwili? juu kuna wezi wengi tu. Na mtoto aliyetoka nyumbani bila ruhusa ya baba yake ameshapatikana?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Hapana..Unamaanisha lulu katoka gerezani?
Utawaweza watu wa mtamdao wa album ya picha basi..Mkuu kwani soweto wameshamtoa mjukuu wa mandela? Si nilisikia kwamba atalinda nyumba ya babu yake kwa miaka miwili? juu kuna wezi wengi tu. Na mtoto aliyetoka nyumbani bila ruhusa ya baba yake ameshapatikana?[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Dah! Nikasema neno la baba limetimia!Utawaweza watu wa mtamdao wa album ya picha basi..
Lulu katolewa na makonda?Huyu Milly ni konyoo anaudhi aisee nimesoma comments watu wamefungua code sijui ni kweli inasemekana daddy's coming kamtoa queen of mashauzi
Mtoto yupiEbu fungus code basi au kuhusu yule mtoto aliyezaliwa
Ndio. Yule huwa anasemaga vya kweli,pengine hadi picha kapewa lakini anaogopa status za wahusika.Hivi inawezekana kweli lakini inawezekana si ndio wenye nchi
DAB ni niniInasemekana eti DAB kamtoa mke wa rate brother bongo movie. Ndio nilivoona kwa wambea wa mule insta