Toto tundu aliyeacha ganda la ndizi mpaka mtu kuteleza kwa utundu... Ikapeleka kufungiwa asicheze na wenzake, karuhusiwa kwa masharti ya kucheza sebuleni tu endapo mgeni akibisha hodi anajifungia tena chumbani...