Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Bora amerudisha mwili nyumbani, waachane na ya zamani ila wagange yaliyopo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3],mkuu hebu soma tena kisa chake naona mleta mada kaongeza habari zaidi,hata yeye hakupenda hali hio na kama alivyosema alianzia kwenye madini baadae akaenda usukumani kuchunga mifugo,na hio kazi ndugu wenye mifugo huwa lazima 'wakuweke sawa'huchomoki ni kama wahindi tu,we fikiria mtu alikosa hata nauli mpaka alipokuja kuchomolewa na Pasta.Mi naamini haikuwa kawaida na isitoshe hata kuoa hakuoa mke yeyote ugenini.Big No mkuu, miaka 42 sio mchezo. Then anarudi na jibu rahisi tu "eti alienda kutafuta maisha"
Ni kweli ya Mungu mengiMradi uzima
Mwanzo nilidhani hivyo mpaka habari kamili ilipoletwa ndio nikajua huyu alikutana na masaibu ya ulimwengu tu,maana hakuwahi kuoa huku ugeniniMzee inaonekana alipiga mawe hapo Maroroni halafu akatekwa na binti wa kibongo akapewa mahaba yakufa mtu mpaka akasahau malengo yaliyomleta bongo.
Unafikiri atasema ukweli mkuu? Huyo lazima atakuwa na watoto bongo.Mwanzo nilidhani hivyo mpaka habari kamili ilipoletwa ndio nikajua huyu alikutana na masaibu ya ulimwengu tu,maana hakuwahi kuoa huku ugenini
yaani hilo halikwepekiInawezekana ameacha watoto Tanzania.
Inawezekana pia,muhimu karudi nyumbani tuUnafikiri atasema ukweli mkuu? Huyo lazima atakuwa na watoto bongo.
Na mali pia.Inawezekana ameacha watoto Tanzania.
Uko sahihi nimeshaona watumishi kadhaa wameshikwa hawataki hata kusikia familia zao Tabora huko mpaka familia walipofanya' yao 'na kuja kuwachukua ndio na wao akili zikarudi.Wanga hao, kuna kufukuzwa na usiwaze kurudi, au kushikiliwa ulipo usikumbuke wapi umetoka.Ninamfahamu mmoja alishikiliwa mahali kwa madawa mpaka nyumbani kwao walipofanya nao makaratee ndio akakurupuka, yeye alirudi akitokea hospital alitoroka wodini anadai anataka kurudi kwao kichaa kimepanda kukanyaga tu ardhi ya kwao kichaa kikaishia hapohapo.Hajawahi tena kurejea kule alikolowea na hataki kabisa kupasikia.
Bora angekufaMradi uzima
Hii stori imenihuzunisha sana
Hiltan Kalugho mwenye umri wa miaka 94, amerejea nyumbani kwao nchini Kenya mikono mitupu baada ya kupambana Tanzania kutafuta maisha kwa miaka 42 bila mafanikio.
Kalugho aliondoka Kenya mwaka 1980 na kumuacha mkewe na watoto saba na kuingia nchini Tanzania kutafuta maisha.
========
A 94-year-old man has been reunited with his family in Majengo village, Mwatate, Taita-Taveta County after being away for 42 years.
Hiltan Kalugho says he left home for Tanzania in 1980 to look for fortune in the neighboring country, leaving behind his wife and seven children
“I left home in search of greener pastures because I wanted a good future for my children. Unfortunately, I was unable to come back home because I did not get the money I expected to get to feed my family,” he told Sunday Nation.
According to the senior citizen, life at the border town of Mororoni where he first worked as a gemstone miner did not, however, turn out as he had envisioned, forcing him to try his luck at livestock herding.
“We did not get any breakthrough. What we used to get was only enough to sustain us,” said Kalugho.
By this time, Kalugho says, he had refused to remarry and was yearning to return home. It took a Kenyan pastor who had visited the area to share Kalugho’s story on social media and reunite him with his family.
Kalugho’s son, Mnjala Mwaluma, said after unfruitful searches for their father over the years, he was called by the pastor to inform him that he had been found in Tanzania.
“Recently I received a call from a pastor telling me my father had been traced in Tanzania. He came with him to Mombasa where we went to meet him,” said Mwaluma.
Kalugho returned home last week to find that his wife had died in 2007, as did his two other sons.
“I feel so bad that some of my family members are not here to witness the reunion. I had longed to see my wife and all my children,” he said.
Source: Citizen Digital
Mkenya Brghton na mkenya wa kova watakuja hapa kusema eti nchi yetu ni maskini!
MK254 nangoja comment yake.
Bado ana thamani kwa familia yake regardleas amerudi mikono mitupu lakini amekua faraja kwaoBora angekufa
NakubaliHakuna mtoto anaeweza akawa na good bond and love kwa baba wa aina hiyo aiseeee.
Sema mzee Alifeli, kwahiyo katika sehemu zote alizotazamia kutafuta aliona Tanzania hahaha Dah. Cha muhimu Amekumbuka hata Kurudi nyumbani. Kuhusu bond na mambo mengine tuyaaache kama yalivyo
Hiltan Kalugho mwenye umri wa miaka 94, amerejea nyumbani kwao nchini Kenya mikono mitupu baada ya kupambana Tanzania kutafuta maisha kwa miaka 42 bila mafanikio.
Kalugho aliondoka Kenya mwaka 1980 na kumuacha mkewe na watoto saba na kuingia nchini Tanzania kutafuta maisha.
========
A 94-year-old man has been reunited with his family in Majengo village, Mwatate, Taita-Taveta County after being away for 42 years.
Hiltan Kalugho says he left home for Tanzania in 1980 to look for fortune in the neighboring country, leaving behind his wife and seven children
“I left home in search of greener pastures because I wanted a good future for my children. Unfortunately, I was unable to come back home because I did not get the money I expected to get to feed my family,” he told Sunday Nation.
According to the senior citizen, life at the border town of Mororoni where he first worked as a gemstone miner did not, however, turn out as he had envisioned, forcing him to try his luck at livestock herding.
“We did not get any breakthrough. What we used to get was only enough to sustain us,” said Kalugho.
By this time, Kalugho says, he had refused to remarry and was yearning to return home. It took a Kenyan pastor who had visited the area to share Kalugho’s story on social media and reunite him with his family.
Kalugho’s son, Mnjala Mwaluma, said after unfruitful searches for their father over the years, he was called by the pastor to inform him that he had been found in Tanzania.
“Recently I received a call from a pastor telling me my father had been traced in Tanzania. He came with him to Mombasa where we went to meet him,” said Mwaluma.
Kalugho returned home last week to find that his wife had died in 2007, as did his two other sons.
“I feel so bad that some of my family members are not here to witness the reunion. I had longed to see my wife and all my children,” he said.
Source: Citizen Digital
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwenye picha km mtu wa maana.