Baba Asikofu Joseph at Mwingira Toa neno la Uzima wa Lissu

Baba Asikofu Joseph at Mwingira Toa neno la Uzima wa Lissu

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Baba Asikofu popote ulipo POKEA salamu Yangu sifi leo Muuumini wako mwema.

Baada ya salamu nakuomba Baba utoe Neno dhidi ya Mh Tundu Lissu aliyenusulika kuwa kwa risasi 16 Sasa ana kesi ya uhaini ambayo akipatikana na HATUA adhabu yake ni kunyongwa mpaka afe.

Baba Asikofu Mimi muumini wako natamani kusikia sauti Yako ya kimaono ya kichungaji kama kawaida Yako

Tafadhali baba popote ulipo toa neno kama walishindwa na risasi 16 je Kuna mtambo wa kumuua mtu huyu ambae uliwai sema UWEPO wake ni kusudio la Bwana?

Baba Asikofu nakutakia usiku mwema
 
Alitoaga watawala wakanuna... wacha tusubiri this time.
 
Back
Top Bottom