Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
- #41
Mimi binafsi hawa maaskofu hasa wa makanisa yaliyochomoza nchini na duniani kote kama miiba ya michongoma wananikwaza sana. Wanafanya mambo kinyume kabisa na maandiko. Uzinzi na uasherati umetawala sana katika dini hizi. Kuwashughulikia wajane ndio kuwashughulikia kimwili na si kiroho hapo ndipo ninapokwazika. Hahahha tusubiri Yesu atakaporudi mara ya pili wa kuhukumiwa ni wengi.
Pakawa tuko pamoja................tungelitegemea wawaonee huruma badala yake wanayatumia matatizo yao kama chambo cha kuwanasa....................[MENTION]@Pakawa[/MENTION]