Baba Askofu anapowashughulikia wajane..........

Baba Askofu anapowashughulikia wajane..........

Mimi binafsi hawa maaskofu hasa wa makanisa yaliyochomoza nchini na duniani kote kama miiba ya michongoma wananikwaza sana. Wanafanya mambo kinyume kabisa na maandiko. Uzinzi na uasherati umetawala sana katika dini hizi. Kuwashughulikia wajane ndio kuwashughulikia kimwili na si kiroho hapo ndipo ninapokwazika. Hahahha tusubiri Yesu atakaporudi mara ya pili wa kuhukumiwa ni wengi.

Pakawa tuko pamoja................tungelitegemea wawaonee huruma badala yake wanayatumia matatizo yao kama chambo cha kuwanasa....................[MENTION]@Pakawa[/MENTION]
 
tofauti ya maaskofu na ma pimps siku hizi hakuna

Kweli The Boss..............afadhali ya Pimp anajulikana yuko kibiashara na siyo mnafiki lakini hawa wanatia aibu sna kwenye jamii hawajui watu wanaangalia matendo yao tu........[MENTION]@The Boss[/MENTION]
 
Hapo ni kutafutana lawama tu,mtu anakula anashiba na jogoo linawika vizuri kwa nini asiwatafune hao viumbe?

LOL....................kichomiz acha kuhalalisha ufisadi wa ngono............[MENTION]@Kichomiz[/MENTION]
 
Anashughulika nao kwa sababu wako kwenye zizi lake. Hamna kosa hapo; labda kama anatenda nao dhambi ndo mbaya!

Wafikiri kuashughulikia nini kama siyo kuwaduuuuuuuuuuuuuuu??????????.......Amka Tutor B....[MENTION]@Tutor B[/MENTION]
 
Baba Askofu lazima atakuwa anawashughulikia wote hata wale wake za watu natoa angalizo tu tu kwa wale wote wenye wake zao kuweni makini sana na Baba Askofu nimemvulia:yo:

lakini dhambi zake mwishowe zitamwuumbua tu.........
 
But mkuu kuna kipengele kwenye matendo ya huruma cha kuwafariji wajane. (Nadhani kumfariji mtu kuna definition pana)

kuwafariji siyo kuwakosanisha na Mungu wao kwa kuwaduuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
kumbe maaskfu hivi ndio wanavyo fanya? s sad

wahida wengi wao wapo kibinafsi zaidi na wala siyo kumtukuza Mungu...........[MENTION]@wahida[/MENTION]
 
hahhahhahaaa........nitakujibu kesho....ruta bwana!:yo:

vaislay kumbuka ahadi ni deni...................mie sichoki kukusubiria unitonye ...........LOL...............[MENTION]@vaislay[/MENTION]
 
Hii story jana imewavunja mbavu washikaji zangu wawili hapa SIKONGE.

Ruta hujatulia wee mtoto 🙂 Hahahaa, Ki-baba Askofu kitafunaji Wajane, Hahahaaaaaa .....
 
mara nyingine waume zao wamefariki kwa ngoma sasa askofu akijipeleka lazima alambe moto
 
Back
Top Bottom