Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #41
Mimi binafsi hawa maaskofu hasa wa makanisa yaliyochomoza nchini na duniani kote kama miiba ya michongoma wananikwaza sana. Wanafanya mambo kinyume kabisa na maandiko. Uzinzi na uasherati umetawala sana katika dini hizi. Kuwashughulikia wajane ndio kuwashughulikia kimwili na si kiroho hapo ndipo ninapokwazika. Hahahha tusubiri Yesu atakaporudi mara ya pili wa kuhukumiwa ni wengi.
tofauti ya maaskofu na ma pimps siku hizi hakuna
Hii nayo iwepo ktk diwani ya Ruta.
Hapo ni kutafutana lawama tu,mtu anakula anashiba na jogoo linawika vizuri kwa nini asiwatafune hao viumbe?
Anashughulika nao kwa sababu wako kwenye zizi lake. Hamna kosa hapo; labda kama anatenda nao dhambi ndo mbaya!
Baba Askofu lazima atakuwa anawashughulikia wote hata wale wake za watu natoa angalizo tu tu kwa wale wote wenye wake zao kuweni makini sana na Baba Askofu nimemvulia:yo:
But mkuu kuna kipengele kwenye matendo ya huruma cha kuwafariji wajane. (Nadhani kumfariji mtu kuna definition pana)
kumbe maaskfu hivi ndio wanavyo fanya? s sad
hahhahhahaaa........nitakujibu kesho....ruta bwana!:yo: