Baba Askofu Dr. Alex Gehaz Malasusa, Mkuu wa KKKT na mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Hospital ya KCMC ! KCMC ipo ICU!

Hizi huduma wawarudishie wamishenari tu sisi akili zetu ni za kutamani vitambi na heshima basi
 

Mindset yenyewe nbiyo hii👇 Tunahitaji Ngosha mwingine

 
KUNA UKWELI hapo kwenye kuwatumia Interns, ni kweli ni wengi sana na inawezekana kweli kusababisha vifo ambavyo vingeweza kuzuilika

Kingine ni foleni, unaweza kuingia kwenye foleni na kushika nafasi saa 1 ukaja tibiwa saa 4 au 5, na kuna RUSHWA KUBWA na KUJUANA....mtu anapiga simu kabla ya kufika hospitalini akija anamwona Daktari chap straight away
 
Wanafanya kazi kwa mazoea
 
Kuna siku nilimsikiliza Program Manager wa KKKT akieleza jinsi miradi ya Afya inavyofanikiwa...alitaja na Zahanati yao iliyopo kijijini kwetu ! Nilitamani kucheka...kwa sababu Zahanati ile imekufa ,hata milango inafingwa kwa mawe! Ila cha ajabu kuna Watumishi na wanalipwa!
Imefikia hatua nikaamini maneno ya muumini mmoja kuwa ....Vituo kama vile ni Chambo cha Kuandikia Propozo' kupeleka Uzunguni!
 
Sasa unamfokea nani? Kama hukubali kufokewa na nesi na wewe usilete mgonjwa acha!!!

Tatizo kuu la KCMC miaka na miaka Ni utawala wa kimangimeza uliolelewa na mfumo wa chagaism/ukabila uliokubuhu pale pamoja na udinidini katika kuajiri, KCMC kwa Majungu na fitina ndio nyumbani kwao pale kumbukeni chemistry ya kesi ya madai kwa Prof Swai against akina Ole na wenzake
 
Upo sahihi mkuu! Wafanyakazi wamezoea unafiki wa kichagga ambapo nesi na daktari huitikiwa …..ndiyo daktari wangu mpendwa…. Na hata mwanafunzi huamkiwa …..shikamoo mwanangu daktari…. Sasa mtu aliyezoea kubembelezwa akikutana na gumegume kama hilo katika clip, moto unawaka
 
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC🥺🥺🥺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…