MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
KCMC ni uozo.....wafanyakazi wanajisikia sana.waliniletea dharau ila niliruka nao hawakuamini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitengo cha Emergency KCMC, kimejaa Intern, wanafunzi madaktari, Manesi na wahudumu.KCMC ni uozo.....wafanyakazi wanajisikia sana.waliniletea dharau ila niliruka nao hawakuamini.
Seliani ni kituo cha mapumziko. Hakuna hospitali pale.kkkt kuna uozo usiosemwa wala kukemewa hata selian hospt ya arusha zengwe ni hizo hizo,mara malumbano mambo ni mengi kkkt ijitathmini
Hata shule zao zina hali mbaya,, fikia Enaboishu sec school mwaka huu wa motokeo kidato cha nne hawakuwa na datasakkkt kuna uozo usiosemwa wala kukemewa hata selian hospt ya arusha zengwe ni hizo hizo,mara malumbano mambo ni mengi kkkt ijitathmini
Mimi nafikiri lile fungu SERIKALI inatoa kuziwezesha Hospitali za Lutheran lielekezwe moja kwa moja kwenye Uendeshaji wa Hospitali kwani hata Selian kule Arusha hali yake ni ya kuunga unga.Kwa ivo malasusa afanye nini?
Hela za kkkt zinakwenda wapi?Miradi mingi ya KKKT hasa Dayosisi ya Kaskazini ina Hali mbaya sana... Kuanzia Mashule, Vyuo na hata hizi Hospitali..
Nakumbuka kipindi cha Uongozi wa Dr. Erasto Kweka Kila kitu kilikuwa kinaenda vizuri.. Huyu Shoo na wasaidizi wake sijui wanatupeleka wapi Kwa kweli..
Sasa unamfokea nani? Kama hukubali kufokewa na nesi na wewe usilete mgonjwa acha!!!Msikilize huyu mtanzania!!
Mkurugenzi wa Hospital hiyo kubwa nchini,amejikita kwenye miradi ya ujenzi,akiachilia mbali maisha ya watu!
Idadi ya vifo ni kubwa mno, na Kuna uwezekano mkubwa mmiliki wa duka kubwa la majeneza nje ya hospital hiyo ni la wa Mkurugenzi wa KCMC
Manesi wamezidiwa kazi, wagonjwa ni wengi , madaktari wameanzisha vituo na hospital zao mjini kibao na Kila Kona na hazitumii Wala bima😭😭😭
Kuna tabia imezuka hospital ya KCMC, intern ni wengi kuliko manesi na madaktari.
Matokeo yake, huduma inatolewa below standard kupitia intern.
Kuna wazungu wapo intern,hawajui kitu chochote na sijui wanatokea nchi Gani ,ndio wanatunika kutibu watu ambao wengi wanafariki kukosa umakini na madaktari bingwa
Angalizo: Serikali ifanye ukaguzi WA mara Kwa mara kukagua mochwari ya hospital ya Rufaa ya Kanda ya KCMC, ilibkujua idadi ya watu waliofariki na sababu za vifo vyao,Hali ni mbaya mochari Kila siku imejaa!*