Baba Askofu Munga: Je, Askofu Mwamakula ni mfia imani na shujaa?

Huu waraka unanishangaza kidogo. Baba Askofu huyu anamsapoti Baba Askofu yule lakini kwa masharti kwamba hayo anayosema Askofu yule yawe yanatoka moyoni mwake. Kwa sisi tuliopitia idara ya mahakama, tunaaminishwa kwamba a judge must be as clean as a whistle. Kwa upande wa pili, jamii inaamini kwa ujumla kuwa a Bishop must be as clean as a whistle. Sasa nikiona Baba Askofu huyu hana imani 100/100 na Baba Askofu mwenziye, inanipa wasiwasi, wasiwasi wa kibinadamu tu lakini. Kwa jinsi tulivyomuona Baba Askofu yule akiambatana na the tundulissu crowd (you are judged by the company you keep), nadhani Askofu huyu ana kila sababu ya kutotoa alama zake 100/100. Ila miye raia wa kawaida sioni tafauti kubwa sana kati ya Baba Askofu yule na kundi la whistlers Nji jirani.
 
Jeshi LA polisi siku hizi limekuwa ni tatizo kubwa kwenye nchi yetu ya Tanzania.
Sikuwahi kusikia hata Mara moja kudai katiba ya wananchi kuwa kosa la jinai, hawa mapolisi sasa ndio wanafanya jinai.
Unalaumu bure Jeshi la Polisi. Kama lisingekuwapo, Askofu Mwamakula wala usingemsikia. Haki ya kuomba Katiba Mpya ipo tu kwa sababu kuna Jeshi la Polisi; na hiyo Katiba Mpya ikija haitokaa kama hailindwi na Jeshi la Polisi. Katiba Mpya haiombwi madhabahuni wala matusini.

Kingine makamanda mnachokisema ni kwamba jeshi linatumiwa na CCM: hii ni kweli kabisa ni sawa kabisa, na ndivyo inavyotakiwa iwe hivyo. Watu milioni 60 tunachagua Chama cha kututawala miaka 5, kutegemea na Ilani yake inavyosema hadi tunaikubali. Kwa misingi ya utawala bora, Jeshi la Polisi haliwezi kupokea amri kutoka kwa taasisi yoyote ile zaidi ya Serkali, Serkali ya Chama tuliyoichagua.

Jeshi la Polisi haliwezi kuwa "huru", nichombo cha mabavu lazima kiwe chini ya raia kupitia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani. Haliwezi kuamrishwa na tundulissu wala na Askofu Mwamakula eti tu kwa sababu vile ni raia, ni lazime litii amri ya serkali, serkali inayotokana na Chama tulichokichagua.

Kama huridhiki Mkuu nenda Mahakamni, kama bado huridhiki basi subiri Miaka 5 ukiwa na Ilani si matusi. Siekewi Askofu Mwamakula aliwezaje kuvumilia harufuoza ya kondoo wake tundulissu ambaye ni Katoliki.
 
Jeshi LA polisi siku hizi limekuwa ni tatizo kubwa kwenye nchi yetu ya Tanzania.
Sikuwahi kusikia hata Mara moja kudai katiba ya wananchi kuwa kosa la jinai, hawa mapolisi sasa ndio wanafanya jinai.
Good elaboration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…