Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,903
Mashinji, Lowasa, Mwambe na Sumaye, and many more, ikitokea leo huyo anayewapa kiburi, paaap amri ya Mungu. Hiyooo KANU imekufa, watasema hayo? Tutaona mengi!Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote.
Amejiunga na Simba, sasa Simba wanasema wamesajiri jembe la uhakika. Nao Yanga wanasema Simba wamechukua bomu ambalo litawalipukia.
Mchezaji mwenyewe alipokuwa Yanga, alisema yeye ni Yanga na Yanga ni yeye. Hata damu yake alisema ni ya kijani.
Sasa kaenda Simba, anasema hatimaye amefika nyumbani. Anadai hata Mungu alipomuumba alimwambia yeye ni Simba.
Kuna kitu hakiko sawa. Ukiwa muongo usiwe msahaulifu. Ukikosa uaminifu uwe mwangalifu. Umaskini wa fikra unazitafuna siasa na soka la Tanzania. Kuna siku mtamsingizia tasa kuwa ana mimba (na mwenye mimba kuwa tasa).!
Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote.

Huko mwisho mwisho baba katumia phd yake vizuri
Baba Asikifu unaona mbali,siyo kama wale akina shehe ubwabwa.
Pole, umeumia, ulisahau jambo moja tu kuwa, huu ni mchezo, lengo kuu ni kutafuta maslahi, mengine yote ni mbwembwe tu, kikubwa maslahi kama ambavyo Mh Askofu nae amekuwa akiyatafuta kwa kuhama kule na kuanzisha huku. Maslahi, maslahi!
Mashinji, Lowasa, Mwambe na Sumaye, and many more, ikitokea leo huyo anayewapa kiburi, paaap amri ya Mungu. Hiyooo KANU imekufa, watasema hayo? Tutaona mengi!
Moja ya Viongozi wa dini wenye akili zao...
Hii ndio maana halisi ya fasihi
Jambo la kushangaza na kuhuzunisha akina baba tena wenye umri unaotegemewa na vijana kuwa wangekuwa watoa ushauri wenye hekima kwa vijana pia kuonesha kauli zao zenye msimamo chaajabu utaona leo anaahidi kuwa yeye hata akipewa milioni ksdhaa hawezi hama lakini chaajabu baba huyo utashangaa amesha hama!! Hivi mbona wanamama hawafanyi hivyo!!??Alipokuwa mchezaji wa Yanga, Simba walimsema ni bomu (dhaifu) na hana lolote.