Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

Itategemea umeoa uswahilini kiasi gani.

Kikubwa chukulia kama msiba wako, kua na mkeo na familia mwanzo hadi mwisho (zile siku 7).

Unaweza usitoe ata mia ila mchango wa uwepo wako ukawa na thamani zaidi.

Au unaweza ukatoa mil 1 hafu ukawa unashiriki msiba WhatsApp we unabaki Dar kuendelea na mishemishe za kusaka “hela”.

BTW, punguza unnecessary misiba na unnecessary ndugu, Kataa Ndoa.
 
Kwa waarusha kama hukumaliza mahari halfu akafariki baba mkwe,, dume la kuchinja siku ya mazishi utatoa wewe
 
Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

Sasa huyo si ni kama mama au baba yako tu!

Maswali gani haya mzee baba?
 
Back
Top Bottom