Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

Wewe ulishachanga mahali wewe nenda kale msibani tena shindilia kwelikweli
 
Changia Kufika na kushiriki kwa namna zote kama vile mkeo na ndugu wengine walivyoguswa na msiba huo.yaani muwe kitu kimoja

Kwan mkuu umesahau kama na wewe umeshajiunga na hiyo familia yaani umekuwa ni mwanachama wa hiyo familia?

Fanya kama vile aliyekufa ni mama Yako au baba Yako, maana yule ni mzazi wa mke wako vaa kiatu chake kisha Cha kuchangia kitakujia tu kichwani,fikiria kwamba aliyekufa ni mama Yako halafu endelea mbele kajumuike na wengine,acha hizo roho za ovyo boss.au ndio ule msemo pesa ndio Kila kitu?

Msiba sio harusi wala sherehe hata kama huna mia nenda jumuika na wengine Fanya msiba..utu kwanza
 
Back
Top Bottom