Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki.unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
Na mods wanaacha kila takataka iingie humu. Ndio maana great thinkers wengi wameamua kupoteaJf sasa imekuwa ya kipuuzi mnoo
Milioni 35. (35,000,000.00)Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki.unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
Buku Jero tuWakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki.unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
Ndio huna kwa wakati huo inakuaje?Kwa waarusha kama hukumaliza mahari halfu akafariki baba mkwe,, dume la kuchinja siku ya mazishi utatoa wewe
Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
Hawatakufanya chochote ila hawatakuzingatia tenaNdio huna kwa wakati huo inakuaje?