Baba Diamond ampa somo Zari the boss! Diamond hajaoa atulize mshono

Teh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
usimshtue huyo! akili ya mwanamke fupi sana ukishalala nae siku mbili ukamvua ch*p basi ushakua mume.. Huyu Cocomanga si demu kama hao mwisho wa siku tunapiga chini
 
usimshtue huyo! akili ya mwanamke fupi sana ukishalala nae siku mbili ukamvua ch*p basi ushakua mume.. Huyu Cocomanga si demu kama hao mwisho wa siku tunapiga chini
Hahahahaha! Kweli kabisa mkuu
 
Hivi unajua ww ni jinga
 
Wanavyopenda sifa wale wangeachaje kutuhabarisha, yakitandani tu wanatujuza ndo iwe ndoa hakunaga iyo wote baby mamaz.
 
Teh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
Na mwenyewe alisema hajaoa bado mdogo wamuacheee
 
Baba wa Diamond tunayemjua ni Shamte ,huyo Mzee Abdul ndo nani?
 
whatever...ni baba tuu...!!!...
hayo mengine ni ya kibinaadamu tuu....
 
huyo mzee ABDUL hana SAUTI YA KUPAZA mbele ya DIAMOND,,,anapaswa akae kimya NA ,,,anapaswa ajuwe.kuwa APENDAE BABA NDY MAMA,,,,
 
Hahahaaaaa..........hilo nalo neno
 
Kiislamu demu hata ukae nae miaka 200 bila sheikh kufungisha ni sawa na uzinifu tu, hakuna mmoja kati yao alieolewa, mzee yuko sahihi. Hao wote ikiwa Mobeto au Zari ni wazazi wenziwe tu Dai na hakuna mwenye haki zaidi ya mwenziwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…