Baba Diamond ampa somo Zari the boss! Diamond hajaoa atulize mshono

Teh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
usimshtue huyo! akili ya mwanamke fupi sana ukishalala nae siku mbili ukamvua ch*p basi ushakua mume.. Huyu Cocomanga si demu kama hao mwisho wa siku tunapiga chini
 
Hahahahaha! Kweli kabisa mkuu
 
Kumbe hakualikwa walipobarikiwa kindoa mjini Dar.. duh!!! Na picha ya gauni jekundu alivaa Zari na party usiku huo tuliziona jamani. Kweli WCB wamekuwa wasiri sana siku hizi.. safi sana.

Angenyamaza kimya kwa historia yake ilivyo na mwanawe.. ameonyesha kuvalishwa zile nguo ndio anadakia dakia eeeeeh.. atulie kimya yeye hahusishwi na ya kindani ya familia hiyo.
Hivi unajua ww ni jinga
 
Wanavyopenda sifa wale wangeachaje kutuhabarisha, yakitandani tu wanatujuza ndo iwe ndoa hakunaga iyo wote baby mamaz.
 
Teh teh teh! Kweli we bwege! Unafikiri mpaka inapofika ndoa kuitwa halali n kujifungia na demu ndani au kula denda hadharani basi imeshakuwa halali! Kwa taarifa yako Huyo Dojo hajaoa so wewe endelea kupumbazika na ndoa za instagram
Na mwenyewe alisema hajaoa bado mdogo wamuacheee
 
Baba wa Diamond tunayemjua ni Shamte ,huyo Mzee Abdul ndo nani?
 
Kumbe hakualikwa walipobarikiwa kindoa mjini Dar.. duh!!! Na picha ya gauni jekundu alivaa Zari na party usiku huo tuliziona jamani. Kweli WCB wamekuwa wasiri sana siku hizi.. safi sana.

Angenyamaza kimya kwa historia yake ilivyo na mwanawe.. ameonyesha kuvalishwa zile nguo ndio anadakia dakia eeeeeh.. atulie kimya yeye hahusishwi na ya kindani ya familia hiyo.

whatever...ni baba tuu...!!!...
hayo mengine ni ya kibinaadamu tuu....
 
huyo mzee ABDUL hana SAUTI YA KUPAZA mbele ya DIAMOND,,,anapaswa akae kimya NA ,,,anapaswa ajuwe.kuwa APENDAE BABA NDY MAMA,,,,
 
Eeeeeeeeeh
Lia lia liaaaaaaaaa

Udaku wa mtandaoni eti unaniita hivyo eeeeeeeh

Ona unaandika maneno ambayo sijayaamdika.. kilazwa haswaaaa wewe duh

Milembe kunakuhiusu.. utafikiri kuandika humu haya ya wasanii tunagombania kombe ni kuburudika jua hivyo. wewe mdaku bebi hujui kuongelea ya celebs.. unaumiaaaaa hapo juu ya maisha yao na kunitukana.. aiseeeeee

Jipige vibao vya usoni ulie kabisa
Umejaa wivu na bado unaakili za kibebi hijui kitu na hujui kufikiri nje ya boksi..
Hahahaaaaa..........hilo nalo neno
 
Kiislamu demu hata ukae nae miaka 200 bila sheikh kufungisha ni sawa na uzinifu tu, hakuna mmoja kati yao alieolewa, mzee yuko sahihi. Hao wote ikiwa Mobeto au Zari ni wazazi wenziwe tu Dai na hakuna mwenye haki zaidi ya mwenziwe.
 
Back
Top Bottom